Vipi kuhusu Civilunrest in US

Vipi kuhusu Civilunrest in US

HIMLER

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
429
Reaction score
227
Kwa siku chache za hivi karibuni nimekua nikiskia kwamba kuna uwezekano wa US kukawa na machafuko na serikali itatangaza hali ya hatari na jeshi kuchukua nchi pia vilevile hapakwetu TZ sikuhizi mbilitatu nimesikia vingozi wajuu wa nchi wakizungumzia habari ya jeshi kuchukua nchi je kuna agenda gani imejificha hapa ikizingatia siku ya leo viongozi wengi sana wa afrika wamekutana leo chini ya mwamvuli wa sherehe za muungano jijini Dar es salaamu kwa ambaye anaweza kuunganosha haya mambo kwa ufasaha naomba mnijuze
 
Wewe usitegemee jeshi kuchukua nchi USA. Hiyo ni ndoto.
 
Kwa siku chache za hivi karibuni nimekua nikiskia kwamba kuna uwezekano wa US kukawa na machafuko na serikali itatangaza hali ya hatari na jeshi kuchukua nchi pia vilevile hapakwetu TZ sikuhizi mbilitatu nimesikia vingozi wajuu wa nchi wakizungumzia habari ya jeshi kuchukua nchi je kuna agenda gani imejificha hapa ikizingatia siku ya leo viongozi wengi sana wa afrika wamekutana leo chini ya mwamvuli wa sherehe za muungano jijini Dar es salaamu kwa ambaye anaweza kuunganosha haya mambo kwa ufasaha naomba mnijuze
Source ya hii habari, please!.
 
Alex Jones ni mmoja wa wachochezi wakubwa wa hilo vuguvugu
 
Kwa wamarekani jeshi kuchukua nchi ni kiwango cha juu kabisa cha uongo. Tz labda.
 
Civil unrest in the US? That is a first. I really doubt it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom