Vipi kuhusu Akiba Commercial Bank

Vipi kuhusu Akiba Commercial Bank

cjuilakini

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Jamani wale waliofanya oral interview pale Akiba Commercial Bank walishaitwa kazini? tupeane taarifa wadau.
 
Yah,kuna msela wangu kaanza kazi tangu tarehe 2/may
 
Poa mkuu haikua bahati ya wale WALIOKOSA. Hii ishu ni ngumu sana msikate tamaa.
 
dah pole sana kaka, tushaanza training pale BLUE PERL TANGU JUZI JUMATATU.
 
Back
Top Bottom