Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Ni kawaida jambo kushindikana kwa sababu mbali mbali,lakini inafikia wakati mtu unatamani iwe kama ulivyotaka lakini mazingira yanakataa
Sasa basi kwenye masuala ya mahusiano nako kuna vimbwanga vyake,inawezekana huko nyuma uliwahi kuwa na mahusiano ambayo hadi leo huwezi kuyasahau na pengine unatamani sana kama yangekuwa ndio ndoa lakini ilishindikana kwasababu mbali mbali ambazo zilikuwa nje ya uwezo wako
Hebu jaribu tu kufikiria,kwa wale ambao waliwahi kuwa na mahusiano ambayo hayakufanikiwa kwenda kwenye ndoa,je kuna mahusiano uliwahi kuwa nayo hadi leo unayakumbuka?
Je unatamani akurudie?
Vipi akikurudia,unaweza kuiweka ndoa yako hatarini kwa kuchepika nae ili ukumbushie mavituz ya kale?
Najua unaweza kuwa na kigugumizi lakini ukweli unaweza kuwa upo wazi kuwa kuna baadhi ambao walikuwa na mahusiano ambayo walitamani ndio yangekuwa njia kuu lakini yalishindikana na hadi leo wanayakumbuka na wana wish hata warudiane hata wawe mchepuko tu
Hebu jiulize hayo maswali hapo juu na uangalie kama kuna cha kujifunza kutoka kwenye hayo mahusiano yako ya kale!!