G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Ndgu wanabodi hili swala la Lissu kugombea TLS, limeleta mjadala sana, mi nataka kujua, iwapo mwanasiasa yeyote kma vile Chenge akijitosa kugombea, je mtasema serikali ya ccm imeingilia TLS? Tujadiliane kwa ustaraabu na kwa hoja tuache mihemko ya ushabiki.