Vipi jinsi ya kutengeneza multiple domain ktk server 2003

ambili

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
243
15
Huwa natumia dcpromo command kutengeneza domain in a new forest, lakini nikijaribu option za kutengeneza child domain au domain tree, napata error message inayosema "active directory domain controller for the domain could not be contacted" wakati tayari nimesha icreate hiyo active directory in the first place.
Haya wale wajuzi wa mcsa nipeni ufumbuzi wa hili tatizo
 
Back
Top Bottom