Vipi hili la kuchaji simu kupitia mtandao?

Elai

Senior Member
Joined
May 26, 2011
Posts
156
Reaction score
11
Katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka fulani, uongozi wa vodacom uliwahi kuahidi kuwa, ndani ya mwaka uliokuwa ukikaribishwa wangekuja na huduma mpya ya kuchaji simu kupitia mtandao. Kwa walioisikia mnaikumbuka hii taarifa.Kwa anayefahamu, suala hili liliishia wapi? Je, tuamini kuwa ilikuwa ni siasa maana Tanzania yetu imeingiliwa na siasa katika kila nyanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…