Nope that was not mistaken yaani ni kwamba you will keep using units but when you recharge it, sum of unpaid units you used will be deducted from new recharge.more like meter reader ni faulty hairipoti . ukipewa umeme wa bure unaongezwa units za kilowats...
SIJAI PATA IZO DATA HUENDA WAO WANAMAJIBU MAZUR ZAID SISI TUNAWEKAGA WAKUTOSHA 24HRS PENGINE NI UTARATIB WA WATEJA WAKUBWA KM NINYI WA MWEZI/MIEZNi kweli lakini hii system haikua awali sio?
The Electrician didnt install it well...the electricity is being bypassed so at 0 you still will have the electricity and the meter will continue reading and it wouldn't display it...you'll end up in big debt eventually.Huwa "tuna" utaratibu wa kulipa kabla au prepaid sio utaratibu actually bali ni law [emoji1013] kufanya hivyo lasivyo hakuna access ya umeme kwenye jengo lako.
Sasa kitu kinachofanya ujue units zako zimeisha ni aitha kucheki kwenye meter reader au a surprise blackout, hali imekua tofauti kwa kipindi kuanzia 2 months ago now
Ilikua ni baada ya kuweka units za mwezi mzima na cha kushangaza mwezi uliisha na additional 3 weeks juu bila umeme kukatika kabisa [emoji4]
Ndipo tulipojiuliza kulikoni huu umeme vipi mbona hauishi, kwenda kucheki mita tukakuta units zilishaisha kabisa [emoji646] na kuna disconnect symbol kwenye meter lakini umeme bado unaflow ndani kama kawa
Ikabidi tujaribu kununua units kwenye simu na kuingiza token but zikakatwa baathi ya units on the spot huku nyingine chache zikisoma kwenye screen [emoji848]
The following month ikawa hivyo hivyo so hapo ndio tukajua kumbe Tanzania [emoji1241] tuna umeme wa kutosha mpaka TANESCO wanaamua kugawa umeme wa bure utumie tu mpaka hapo utakapopata hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli hilo lilinifanya nizidi kutembea kifua mbele sababu sio kwa kuhongwa huku [emoji23][emoji23][emoji16]
Sasa hapa najiuliza ni kinyerezi I, II pekee zinafanya Tanzania [emoji1241] tuwe electricity mpaka ya bure, vipi Stirgliers Gorge ikikamilika?
Tutegemee kuuziwa unit kwa cent
Vivaaa JPM [emoji1377][emoji1360]
Vivaaa Tanzania [emoji1241] [emoji1241]
Halafu jamaa anajisia kama ZUZU..Kama ulipewa bure kwanini walikukata hela?
That's not how prepaid power meter should be working. Your device might have problem, if you're not intend to take advantage of it I suggest you report to your power supply company to get the situation rectifiedNope that was not mistaken yaani ni kwamba you will keep using units but when you recharge it, sum of unpaid units you used will be deducted from new recharge.
Boss hiyo ndio inafanya upige kifua. Kweli waafrika sisi tunaishi kwenye nchi shithole kwelikweliHuwa "tuna" utaratibu wa kulipa kabla au prepaid sio utaratibu actually bali ni law β kufanya hivyo lasivyo hakuna access ya umeme kwenye jengo lako.
Sasa kitu kinachofanya ujue units zako zimeisha ni aitha kucheki kwenye meter reader au a surprise blackout, hali imekua tofauti kwa kipindi kuanzia 2 months ago now
Ilikua ni baada ya kuweka units za mwezi mzima na cha kushangaza mwezi uliisha na additional 3 weeks juu bila umeme kukatika kabisa π
Ndipo tulipojiuliza kulikoni huu umeme vipi mbona hauishi, kwenda kucheki mita tukakuta units zilishaisha kabisa 0β£ na kuna disconnect symbol kwenye meter lakini umeme bado unaflow ndani kama kawa
Ikabidi tujaribu kununua units kwenye simu na kuingiza token but zikakatwa baathi ya units on the spot huku nyingine chache zikisoma kwenye screen π€
The following month ikawa hivyo hivyo so hapo ndio tukajua kumbe Tanzania πΉπΏ tuna umeme wa kutosha mpaka TANESCO wanaamua kugawa umeme wa bure utumie tu mpaka hapo utakapopata hela πππππ
Kwa kweli hilo lilinifanya nizidi kutembea kifua mbele sababu sio kwa kuhongwa huku πππ
Sasa hapa najiuliza ni kinyerezi I, II pekee zinafanya Tanzania πΉπΏ tuwe electricity mpaka ya bure, vipi Stirgliers Gorge ikikamilika?
Tutegemee kuuziwa unit kwa cent
Vivaaa JPM πͺπΌππΌ
Vivaaa Tanzania πΉπΏ πΉπΏ
Yeye anasema ni kinyerezi kumbe ni mambo ya Made in China. [emoji23] Mshamba sana huyu jamaa.Chinese products hukua cheap na ni low quality.