Vipi hii ikiingia Tanzania?

Vipi hii ikiingia Tanzania?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Wana jamii,
Nimekutana na hii habari kwenye Yahoo. Nikaanza kujiuliza kuwa hii teknolojia ikiingia Tanzania pale Manzese watu watakabwa sana ili kuachia huo mkojo kwa nguvu ili watu waendeshe hizo jenereta.....




Three of the four inventors of the urine-powered generator (Eric Hersman)Four African girls have created a generator that produces electricity for six hours using a single liter of urine as fuel.
The generator was unveiled at last week's Maker Faire in Lagos, Nigeria, by the four teens Duro-Aina Adebola, Akindele Abiola, and Faleke Oluwatoyin, all age 14, and Bello Eniola, 15.
So how exactly does the urine-powered generator work?

  • Urine is put into an electrolytic cell, which separates out the hydrogen.
  • The hydrogen goes into a water filter for purification, which then gets pushed into the gas cylinder.
  • The gas cylinder pushes hydrogen into a cylinder of liquid borax, which is used to remove the moisture from the hydrogen gas.
  • This purified hydrogen gas is pushed into the generator.
And as for delivering the fuel itself? Well, we'll leave that up to the consumer.
The Maker Faire is a popular event across the African continent, drawing thousands of participants who travel to Lagos to show their inventions and other practical creations.
The Maker Faire is intended to highlight creations "that solve immediate challenges and problems, and then works to support and propagate them. Put another way, this isn't just a bunch of rich people talking about how their apps are going to change the world."

Source: Yahoo.
 
Magiants in Oil business watsocrush hiyo technolojia mpaka basi.
 
Hii kitu mkombozi we acha tu. Sema kwa watawala wetu wapenda rushwa watawazima hawa dogo ili wasiwaharibie ten percent toka kwa wauza mafuta na jenereta.
 
niliiona hii habari kama picha tu bbc bila maelezo, hata mataifa ya magharibi yanajua hii technologia itaua soko lao.
Lakini ole wao mchina akiona hii kitu, by december utashangaa mchina anaanza shipment na kuuza dunia nzima, wachina huwa hawachelewi
just give them 1 month you will see.
 
I wish CHINESE see this opportunity,How much have we been using to hire a taxi but now a days just as little as one doller you can hire a Motorcycle not mentioning other product like mobilephone,TVs,Music System etc.Without China world could have been a hell especial to most of african countries. YES or NO is up to you
 
Sema kwa watawala wetu wapenda rushwa watawazima
song9-9.jpg
 
Hii kitu mkombozi we acha tu. Sema kwa watawala wetu wapenda rushwa watawazima hawa dogo ili wasiwaharibie ten percent toka kwa wauza mafuta na jenereta.
Wewe sasa kila kitu watawala watawala. tutakuona mjinga mwishoe.
 
Duh teenagers wa Africa? Heshima kwao engineers hao
 
Haya engineers wa bongo mnaweza copy and paste? Au tayari hawa watoto wana - hati miliki? Hizo Chemicals na Hydrolysis inayotumika kupata Hydrogen toka ktk mkojo inakubaliana na principles za Chemistry? Tuambieni wakuu maana wengine Chemistry yetu Kidato cha nne tu.
 
Anael mwanangu hujui unachosema. Umeamua kuwaka bila kufikiri. Unadhani bila kuwa na utawala unaowajibika kila balaa utamlaumu nani in the first place. Kama sheria zipo na wahusika hawazisimamie unataka kila mtu ajifanyie atakavyo kama unavyodhani kwa ujinga wako unaowatupia wengine. I know what I am saying more than you ridiculously think. Shut up or put up if you don't have anything sensible to speak.
 
Back
Top Bottom