M Mpira wa kona JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 350 Reaction score 338 Dec 26, 2016 #1 Wale watalaamu wa Lumumba naomba mnijuze Elimu ya Mbunge Joseph Ngonyani" Maji Marefu"(CCM).Nimekuwa navutiwa Na namna anavyochangia Bungeni
Wale watalaamu wa Lumumba naomba mnijuze Elimu ya Mbunge Joseph Ngonyani" Maji Marefu"(CCM).Nimekuwa navutiwa Na namna anavyochangia Bungeni
ismailifaraj Senior Member Joined Mar 26, 2016 Posts 121 Reaction score 79 Dec 26, 2016 #2 BwAn maji marefu
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,790 Reaction score 12,224 Dec 26, 2016 #3 Hilo jina tu lilivokaa la ngonyani unatambua huyu ni kilaza yaani ni hewa kichwani
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Dec 26, 2016 #4 Huyo ni Profesa wa chuo kikuu cha ulozi pale Tanga sehemu za Korogwe. Nadhani ndiye aliyemrithi yule mlozi mzee Mandondo, Una swali jingine? Je hiyo CV haitoshi?
Huyo ni Profesa wa chuo kikuu cha ulozi pale Tanga sehemu za Korogwe. Nadhani ndiye aliyemrithi yule mlozi mzee Mandondo, Una swali jingine? Je hiyo CV haitoshi?
Mwana Ukoo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 252 Reaction score 423 Dec 27, 2016 #5 Jamaa ni Darasa la Saba Halafu mbunge wa jimbo la vijijini miaka ya nyuma alikuwa Mganga wa kienyeji sasa kapata ulaji ni Mp basi mikoba yote katupa
Jamaa ni Darasa la Saba Halafu mbunge wa jimbo la vijijini miaka ya nyuma alikuwa Mganga wa kienyeji sasa kapata ulaji ni Mp basi mikoba yote katupa
hillarymajune Member Joined Nov 18, 2015 Posts 8 Reaction score 3 Dec 27, 2016 #6 We jidanganye mjasiri haachi asiri akiacha asiri hana akili