Watu wasiojulikana wamesambaza vipeperushi wakitaka kuiitishwe kura ya maoni ya kuvunja mfumo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoasisiwa Novemba 2010.
Vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari ‘Tamko la watu wa Waunguja kwa Wawakilishi wote wa CCM kutoka majimbo yote ya Unguja' vimekuwa vikisabazwa katika maeneo ya mikusanyiko na baadhi ya wananchi kupenyezewa katika milango yao.
"Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imeshindwa kudumisha na kulinda amani na umoja wa kitafia wa wananchi wa Zanzibar,' sehemu ya vipeperushi vimeleeza.
Vipeperushi hivyo vimetoa mapendekezo matatu wakitaka serikali kuangalia upya mabadiliko ya 10 ambayo yanaruhusu kuudwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Wametaka viongozi dhamana waliopewa majukumu ya kusimamia sheria wafukuzwe akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kutokana na vurugu zinazofanywa na kikundi cha Uamsho kila mara Visiwani humo.
Kwa muono wangu wakujiuzulu kwanza bora wangesema Emanuel Nchimbi mana yeye ndie mwenye Dhamana ya Kulinda Raia na wala sie Waziri wa Katiba na Sheria-Zanzibar. Ila yote haya wanaofanya ni Usalama wa Taifa.
Inaonekana kitendo cha kukamatwa Shehe FARIDA na kunyolewa mavudhi kimewaudhi sana baadhi ya waumini wa subuana..tatizo wazanzibari hawajui wanataka nini..wana mbwanda tu kama kuku mtaka kufa
Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.

Huo ndo mwanzo wa kuuvunja muungano; kumbuka maneno ya Mwalimu JK Nyerere:Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umewashinda kuuvunja sasa wanatafuta kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa! Hawa watu sijui hata wakoje.
Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.
zanzibar mtahangaika sana mwaka huu
Lugha yako inakufichua kutoka katika kichaka cha chuki na tabia ya kinyamaInaonekana kitendo cha kukamatwa Shehe FARIDA na kunyolewa mavudhi kimewaudhi sana baadhi ya waumini wa subuana..tatizo wazanzibari hawajui wanataka nini..wana mbwanda tu kama kuku mtaka kufa
Unafikiri ni wajinga kama wale wengine wanaokubali kila kitu?Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.
Kitabu na Sunna nje ya hapo hadanganywi mtu.:biggrin1::biggrin1: nawaonea huruma wanavodanganyika maskini watu wa watu
zanzibar mtahangaika sana mwaka huu
Roho ya ubaguzi inawatesa na kama alivyosema hayati baba wa Taifa Mwl J. K Nyerere.
Wamekwisha kuila nyama ya mtu hawataacha, dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna siku zote.
Jusa, Seif, farrid na uamsho hawa wanaitaka Zanzibar huru. Nje ya madai yao wanafahamu vema kwamba hakuna Zanzibar huru bali Unguja na Pemba.
Dalili za mvua ni mawingu na madai ya Uamusho na maudhui ya mabandiko ya vipeperushi yanathibitisha kwamba sasa Zanziba haiko salama na sio wamoja, wanaonesha kuwa wamoja kwa unafiki wanapoisema Tanganyika.
Watu wasiojulikana wamesambaza vipeperushi wakitaka kuiitishwe kura ya maoni ya kuvunja mfumo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoasisiwa Novemba 2010.
Vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari Tamko la watu wa Waunguja kwa Wawakilishi wote wa CCM kutoka majimbo yote ya Unguja vimekuwa vikisabazwa katika maeneo ya mikusanyiko na baadhi ya wananchi kupenyezewa katika milango yao.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imeshindwa kudumisha na kulinda amani na umoja wa kitafia wa wananchi wa Zanzibar, sehemu ya vipeperushi vimeleeza.
Vipeperushi hivyo vimetoa mapendekezo matatu wakitaka serikali kuangalia upya mabadiliko ya 10 ambayo yanaruhusu kuudwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Wametaka viongozi dhamana waliopewa majukumu ya kusimamia sheria wafukuzwe akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kutokana na vurugu zinazofanywa na kikundi cha Uamsho kila mara Visiwani humo.
Kwa muono wangu wakujiuzulu kwanza bora wangesema Emanuel Nchimbi mana yeye ndie mwenye Dhamana ya Kulinda Raia na wala sie Waziri wa Katiba na Sheria-Zanzibar. Ila yote haya wanaofanya ni Usalama wa Taifa.
Wazanzibari maneno haya tumeshayazoea tafuteni mengine.