Vipaumbele vya rais??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipaumbele vya rais???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpenda, Feb 25, 2011.

 1. mpenda

  mpenda JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana JF, nimetafakari juu ya matukio mbali mbali yanayolikumba taifa letu baada ya uchaguzi wa 2010 ambayo yana athari kubwa kiuchumi na kijamii, mfano mabomu GLM, mgao wa umeme, DOWANS, kupanda kwa gharama za bidhaa mf. sukari, elimu inayoshuka viwango, migomo vyuo vikuu etc. Nilitegemea kuwa katika wakati huu mgumu, Rais angekuwepo nchini aidha kuwafariji wananchi na pia kutuambia mikakati ya serikali kushughulikia matatizo haya. Lakini naona ana vipaumbele vingi vikiwemo safari za nje kutatua migogoro etc, hapa nchini haya matukio hayamshituiii????:decision:
   
Loading...