Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,882
- 947
Nimekuwa nikifuatilia siasa zetu kwa karibu na kuna vitu vimekuwa vikinitatiza. Inawezekanaje Mbunge wa Arusha, Mheshimiwa Lema, awekwe kizuizini kwa zaidi ya miezi miwili, kwa kosa la kuota wakati huo huo kuna kiongozi alikula hela za kujenga kiwanda huko Lindi, chenye thamani za dola za Kimarekani milioni ishirini hajakamatwa? Kwa nini serikali inakuwa na upendeleo wa dhahiri?