Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Mwanjelwa ni balaa, pamechangamka Sana kuibiwa nje nje! Hahaha ubora wa familia ulikuwa unapimwa kwa kutazama tranka lako limesheheni vitu gani unapotoka likizo! Kuna jamaa akaja na maandazi halafu usiku anakula gizani, tunasikia tu harufu ya maandazi tunamvumilia. Siku ya Jumapili kaenda kanisani huku nyuma tukatekenya kufuli la tranka lake likafunguka, tukakuta hela na maandazi kibao na asali! Tukachukua maandazi na asali tukala! Aliporudi akasema, "Ninachoshukuru hamjachukua hela yangu ya ada, Asanteni Sana!!"
Uliijua nafasi yako na ukaitumia vyema[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Kuna kidenti kilitoka USA kikaja shule yetu..kikawa kina makormbwezo kibao Ila kichoyo balaa...wakanipa kazi hiyo Mimi...maana mm walishanizushia nimechanjiwa[emoji1787][emoji1787]! Nilikua nna uwezo wa kuiba popote bila kustukiwa[emoji38][emoji38]! Jikoni naongea na chefcooker huku mkono mwingine unasomba maandazi..bas Yule demu nikasema. Ntakufunza adabu...nilikua mjuzi Sana wa kucheza na kufuli na zip yoyote Ile ..tukafungua tranka Ina kila kitu cha kula .kula balaa maziwa na mijuice fulan ilikua maarufu miaka Ile ..dogo alirudi hostel kufuli liko vile vile .dah Yale maisha yalikua Hakuna stress...
Orchard ya shule nyanya zikikomaa tu had boys wananifata..oya nyanya zimekomaa ..natambaa umbali mrefu balaa nimebeba nyanya mgongoni nisionekane.. mnatengeneza kachumbari na wali saaafi kbs.shenzi Sana Yale maisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Those days...dah..Raha Sana jamani! Wadada wa Loleza enzi zile walikua chakaramu balaa
Hapo hakuna uchawi ,ni technics tuNimesoma huku nacheka balaa..sura ya Mwanjelwa ikinijia...mie siuaminigi kbs habari za ushirikina .Ila Kwa Mwanjelwa naamini uchawi upo..Bora we hukuibiwa .mie nilipigwa kweupeee[emoji1787][emoji1787]! Enzi hizo form 2! Dadek....umenifurahisha Sana na habari za matrank na kuku na blue and[emoji38][emoji38][emoji38]
Enzi hizo four angle ama Taima. Usipovaa hivyo shuleni basi we sio mjanja kabisaHivi four angle zilipotelea WAP..?
Sijui Kama Kuna kabila hapa dunian ni wachafu ,washamba typical Kama wasafwaWasafwa sio matapeli mbwa wewe..
Inaelekea ulichotoka nacho shuleni ni kujua makabila tu..