huku kwetu ni kichwa cha wendaazimu kila mtu anajifundisha kunyoa.vilaka barabara nzimaBarabara ya Njombe -Songea ni hatari sana ,kwanza nyembamba,pili iko hovyo haijarekebishwa zaidi ya kuwekwa vilaka toka mkoloni.Kuna milima na makona ya ajabu hasa Lukumbulu,ni noma.Serikali iko kimya kama hawioni.Barabara nyini zinatinduliwa na kujengwa upwa mfano kuanzia madaraja mawili Ruaha na sasa wako mfinga na bado wanaendelea,kipande hiki kimetinduliwa ile lami chakavu iliyopo na kuweka lami nyingine mpya kiukweli barabara imependeze si mchezo.
Songea imetelekezwa kama hawaishi watu vile pamoja na unyeti wa mkoa kwa uzalishaji wa mazao ya chakula nk.
duh! Kumbe we mwoga namna hiyo?njia nzima nikawa namkumbuka shalomillionaire.
Barabara ya Njombe -Songea ni hatari sana ,kwanza nyembamba,pili iko hovyo haijarekebishwa zaidi ya kuwekwa vilaka toka mkoloni.Kuna milima na makona ya ajabu hasa Lukumbulu,ni noma.Serikali iko kimya kama hawioni.Barabara nyini zinatinduliwa na kujengwa upwa mfano kuanzia madaraja mawili Ruaha na sasa wako mfinga na bado wanaendelea,kipande hiki kimetinduliwa ile lami chakavu iliyopo na kuweka lami nyingine mpya kiukweli barabara imependeze si mchezo.
Songea imetelekezwa kama hawaishi watu vile pamoja na unyeti wa mkoa kwa uzalishaji wa mazao ya chakula nk.
nipo njian kwenda tanga. hizi corner za muheza balaa. duh. afu unatembelea yutong spidi kali. njia nzima nikawa namkumbuka shalomillionaire.