VIP account subscription

ludacris86

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
22
Reaction score
122
Jamani wana forum kwa yeyote anayejua namna ya kulipia VIP ACCOUNT na FOREVER ACCOUNT ili kuweza kuwa Subscribed na Channel za Canal sport naomba msaada..natumia decoder ya Starsat

Kuna jamaa nilikuwa namtumia lkn kwa sasa hapatikani kwenye simu kwa hyo nipo nipo tu!!
 
Aisee hata mimi nna shida kama hiyo ila mimi niliyekuwa namtumia nilikuja kujua ananipiga parefu sana ila sikuwa na namna,mimi natafuta namna ya kulipia mwenyewe tu kwa sasa ila sijafanikiwa
 
Nenda kwenye website ya canal africa watawasaidieni
 
Yaani kitu haramu mnafikiri nani atanyoosha kidole afungwe
 
Vp kaka ulimpata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…