Viongoziwetu hao wakimwaga kidhungu

Viongoziwetu hao wakimwaga kidhungu

Another piece of nonsense! Why is JF entertaining Tinkers in the name of thinkers!
 
BASI HAPO HUYO MZUNGU ANATAMANI HATA AMCHAPE KOFI kwa Mhe. anavyovunja kimombo

aah wapi..kwanza huyo mzungu hata hamsikilizi ye anasubiri tu wasign deal waje wachukue cha kwao hapa basi...we unafikiri kweli wazungu wanatusikiliza..hata JK mwenyewe hamsikilizi wanamwachia aongeee akimaliza wanampa form ana sign mkataba watu wanaanza kula hela
 
Back
Top Bottom