Viongozi wetu hawaithamini Elimu

bia

JF-Expert Member
Feb 9, 2011
257
29
Ni maajabu kuona watu walofeli mitihan ndo wanapelekwa kuwa walimu,c wote ila wengi ni wale walofanya vibaya,navyofahamu mimi ktk sector muhmu ktk maendeleo ya nch yoyote ni Elimu, iweje wenye kufanya vizur wasipelekwe ktk sector hii? Iweje sector kama politics vyuon, law, sociology ndo viwe na cut of point kubwa zaid ya elimu?

Nadhan tz imefika mahal kurudisha hadhi ya sector ya elimu kuweka mishahara ya juu ili wenye kufanya vizur mashulen waje ku2fundishia wataalamu wa bdae wa nch hii.

India Imetoa laptops Milion saba kugawiwa wanafunz wa secondary kwa lengo la kuendana na mabadiliko ya dunia. Je kwa mfumo huu wa Elimu Tanzania 2takaa 2jigambe na wataalam kwel? Nini kifanyike?

Naomba maoni kuhusu hili
 
Back
Top Bottom