Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Viongozi wakuu wa UKAWA watokea Ngome hivi sasa na wanaelekea Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi na mashtaka, ya wale vijana waliokamatwa juzi kwenye tallying centres za UKAWA. Vijana hao wamepelekwa mahakamani muda huu na inavyodaiwa tayari kuna hati ya kuzuia wasipate dhamana.


Baada ya hapo viongozi wakuu watafanya mkutano na waandishi wa habari Katika Ofisi za Kampeni,Ngome Kawe, kuanzia saa 12 jioni.

Itakuwa press yenye uzito.



UKAWA will hold a press conference of its top leadership at 6.00 pm at Ngome(The compaign Office), at Kawe.


Now, they are leaving Ngome to Kisutu Magistrate Court, as the volunteers who were arrested the day before yesterday at our tallying centres have been rushed to the court this afternoon.


Makene
 
Kwa hiyo wataongelea maswala ambayo yako mahakamani.Sio kuingilia uhuru wa mahakama?

Ushauri wangu vyombo vya habari msirushe live.Warekodini kwanza mchuje hayo wanayoongea kwanza kama yako vizuri kisheria ndipo mrushe au mchapishe msiende kichwa kichwa.
 
Mr. President, Ocampo four, MUSA ALLAN.. tunakuja kuwapa dhamana..!!

Ukombozi wa kweli, lazima unapitia milima na mabonde, Hawa ni genius wa ukombozi wa nchi yetu.
 
ukombozi utafika tu ata kama tutashindwa kuwatoa mwaka huu tuwaombee wana ukawa wenzetu cuf chini ya seif zanzibar aka next singapore washinde ili mwaka 2020 tallying center yetu itakuwa ndani ya ikulu ya zenji so tuone kama kova na wenzake watakuja kutufata
 
Back
Top Bottom