Viongozi wakuu wa ACT Wazalendo, Zitto na Maalimu Seif, leo kuanza ziara ya siku 4 Pemba

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Aliyekuwa katibu Mkuu na CUF Maalimu Seif na kiongozi Mkuu na ACT Wazalendo leo wanategemewa kuanza ziara ya siku nne visiwani Pemba.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Kusini Pemba RPC Hassan Nassir Ali, amesema viongozi hao Hamad na Zitto wako huru kutembelea Pemba na sehemu nyingine yeyote ya Zanzibar lakini lazima wahakikishe wafuasi wao wasiwe chanzo cha vurugu.
=========​
Ni vigumu sana kuivunja ngome ya Seif, Lipumba na Msajili wametwanga maji kwenye kinu, mabilioni ya pesa aliyopoteza msajili kuivuruga CUF bora yangejenga hata shule moja au zahanati Pemba, inaonekana hawajatatua tatizo inabidi watafute pesa zingine.
 
Back
Top Bottom