Antar bin Shaddad
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 202
- 101
Haiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!
"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"
Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?
ndiyo,huyu ameshatangaza kugombeaHaiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!
"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"
Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?
Haiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!
"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"
Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?
Haiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!
"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"
Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?
You can't be as stupid as you'd want us to believe!
Haiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!
"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"
Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?
Mtu utajua kajinyea si mpaka uone kinyesi bali harufu ya kinyesi inakufanya uhisi kuwa huyu mtu kajinyea,mnaotaka ushahidi nendeni kwenye harambee za makanisa ndio mjue mtu anataka uraisi,msitake kutuletea za hakunaga hapa wakati siri i wazi,si watu walikubaliana kuwa wataachiana uongozi(wamefanya uongozi haki yao)au nalo hamlijui acheni uzushiMimi simtetei Lowassa lakini you can't prove that amewanunua na kama unaweza tuletee ushahidi hapa siyo kukurupuka tu, na huko kutangaza kwamba anagombea ni lini alisema hivyo? Mods hii habari ilitakiwa ipelekwe jukwaa la tetesi siyo hapa bana!
Haiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!
"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"
Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?
Subirini mengi kwenye uchaguzi wa hiki chama mwaka huu,watatoana roho kabisa..hii ni rasharasha tu,mafuriko yanakuja.