R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Jamii forum ; umekuwa ni mfano wa kuingwa kwa viongozi kwa kuwakumbusha , umuhimu wa kushirikia katika mambo ya kijamiii; Kifo sio suala la Kisiasa; Tulilalamika humu kuhusu DR SLAA , kutoonekana kwenye misiba mikubwa . Marehemu Ndesamburo kuhudhulia misiba.
Walikuwa wanakejeli sana kuhusu JK kuudhulia misiba na comment mbovu
Kiafrica :
1.Misiba ndio sehemu ya kusameheana kutakana misamaha.
2. sehemu ya kuondoa tofauti zetu
3. Ni sehemu ya kuonyesha umoja wetu
Kwa misiba hii ; Tunalo la kujifunza.
Ni matumaini yangu watakuwa wanahudhulia misiba iwe ya CCM Wananachama wa ukawa , viongozi wenye heshima na wananchi .
ukweli mchungu , mwisho wa kuwasilisha