Viongozi wa Tanzania: Je ni watawala,wajasiriamali au wezi?

GODLOVEME

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,640
493
Ndugu zangu wa jamii forum nimetafakari sana juu ya vingozi wa taifa letu na utendaji wao lakini nimeshindwa kupata majibu na hii ni kulingana na tabia zao na matendo wanayofanaya na hii ni kulingana na yafuatayo
  1. viongozi wetu wamekuwa tu much opportunist, kwenye mradi wowote lazima kuna wizi: Eg; Shida ya umeme wa Tanzania ni fursa kwa viongozi wengine(richmond, IPTL na mengine), shida ya barabara hii ni opputunity kwa viongozi , Migogoro inayoendelea ni fursa kwa viongozi wanaomiliki malory swali hawa ni viongozi au wajasiria mali ....................na mengi sana
  2. Wamekwa ni watu wa siasa hata kwenye mambo yanaoitaji majibu ya kityahalamu
  3. hawana vision, CCM hawakuwa na agenda ya katiba lakini katiba imengizwa kwenye agenda zao with very high concentration and special budget from hazina
 
Viongozi wa Tanzania ni watawala,wezi,wajasiriamali wa mali za umma,wanafiki,mafisadi,wala rushwa.Yaani sielewi sifa kamili ya kuwapa hawa watawala.
 
Ndugu zangu wa jamii forum nimetafakari sana juu ya vingozi wa taifa letu na utendaji wao lakini nimeshindwa kupata majibu na hii ni kulingana na tabia zao na matendo wanayofanaya na hii ni kulingana na yafuatayo
  1. viongozi wetu wamekuwa tu much opportunist, kwenye mradi wowote lazima kuna wizi: Eg; Shida ya umeme wa Tanzania ni fursa kwa viongozi wengine(richmond, IPTL na mengine), shida ya barabara hii ni opputunity kwa viongozi , Migogoro inayoendelea ni fursa kwa viongozi wanaomiliki malory swali hawa ni viongozi au wajasiria mali ....................na mengi sana
  2. Wamekwa ni watu wa siasa hata kwenye mambo yanaoitaji majibu ya kityahalamu
  3. hawana vision, CCM hawakuwa na agenda ya katiba lakini katiba imengizwa kwenye agenda zao with very high concentration and special budget from hazina

Kajipange upya! Uje tena ukiwa -clear!
 
Back
Top Bottom