GE2025 Viongozi wa Sungusungu watakiwa kuwaongoza vijana kulinda amani

GE2025 Viongozi wa Sungusungu watakiwa kuwaongoza vijana kulinda amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Viongozi wa Sungusungu na wazee maarufu Kitongoji cha Maimba Kata ya Chamalendi wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuwaongoza vijana kulinda amani na kuachana na vitendo vya uchochezi vinavyopelelea uvunjifu wa amani.

Wito huo umetolewa Octoba 19, 2025 na Polisi Kata ya Chamalendi Mkaguzi wa Polisi Sadi Kambona alipokutana na viongozi hao katika shule ya msingi Chamalendi, ambapo amewasisitiza kuwa wazalendo na kuwa tayari kuwakemea na kuwashauri vijana pale wanapokwenda kinyuma na maadili ya Kitanzania.

Aidha kwa umoja wao viongozi hao wameeleza kuwa wapo tayari kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi katika upatikanaji wa taarifa zenye viashiria vya uvunjivu wa amani ili kushughulikiwa kwa wakati kabla madhara kutokea.

1761216608726.png


1761216635360.png
 
Back
Top Bottom