...... Miaka hiyo wanachama wa Simba walikuwa wanaanzisha migogoro katika klabuni hapo kila kukicha bila ya sababu za msingi .....kila kukicha ni mahakamani.... kesi..... kusimamisha viongozi..... lakini cha kushangaza wanachama wale waliokuwa wanapendelea migogoro wakati ule wamo kati ya wanachama ambao wanaoanzisha mgogoro huu ulioanzishwa na kuzimwa hivi karibuni...... fikiria wale wale wa miaka 10 iliyopita ndo walewale wanataka kuendeleza fujo......kama unayo kumbukumbu watafute viongozi wa miaka hiyo watakueleza.........