Viongozi wa serikali hufuatilia yanayoandikwa JF?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
857
1,006
Habari za asubuhi wadau.

Naomba mtu yoyote mwenye ushuhuda wa jambo lililoandikwa JF likafuatiliwa na viongozi wa serikali.

Nahisi kama viongozi wa serikali hawana muda wa kufuatilia yanayoandikwa JF.

Karibuni.
 
Yeah lazma wafatilie wajue ni faili la kiongozi gani limewekwa humu. Huku pa moto.
 
Back
Top Bottom