Viongozi wa Mameya Chadema wachaguliwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Katika uchaguzi uliofanyika kwa Umoja wa mameya na Montecito wa Halmashauri ya CHADEMA leo wagombea ni kama wafuatavyo:
Idadi ya wapiga kura 15

1.Nasafi ya Mnadhimu
Mgombea ni mmoja ndg. Mosses Matiko Misiwa -M/kiti wa Halmashauri ya Tarime
amepata Kura 15

2. Nafasi ya Katibu
Mgombea walikua wawili ndg. Boniface Jacob Mayor wa Kinondoni na ndg. Ally Mwafongo M/Kiti wa Halmashauri ya Tunduma.
Ndg. Ally Mwafongo alijitoa na kuacha ndg Boniface Jacob na amepigiwa Kuna za ndio au Hapana
Jumla ya kura alizopata ni 15.

3.Nafasi ya Mwenyekiti
Mgombea alikua mmoja Mh. Kalist Lazaro
Mh Kalist lazaro amepata kura 15 za ndio.

Kutokana na Katiba ya Chama,Viongozi hawa wapya waliochaguliwa leo wanakua ni wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA.
 
inakuwaje waruhusiwe kuchaguana wakati Bavicha wapo Dodoma kuleta vurugu uvccm mpo wapi kwenda kuzuia upopoma huuu
 
Hay
Katika uchaguzi uliofanyika kwa Umoja wa mameya na Montecito wa Halmashauri ya CHADEMA leo wagombea ni kama wafuatavyo:
Idadi ya wapiga kura 15

1.Nasafi ya Mnadhimu
Mgombea ni mmoja ndg. Mosses Matiko Misiwa -M/kiti wa Halmashauri ya Tarime
amepata Kura 15

2. Nafasi ya Katibu
Mgombea walikua wawili ndg. Boniface Jacob Mayor wa Kinondoni na ndg. Ally Mwafongo M/Kiti wa Halmashauri ya Tunduma.
Ndg. Ally Mwafongo alijitoa na kuacha ndg Boniface Jacob na amepigiwa Kuna za ndio au Hapana
Jumla ya kura alizopata ni 15.

3.Nafasi ya Mwenyekiti
Mgombea alikua mmoja Mh. Kalist Lazaro
Mh Kalist lazaro amepata kura 15 za ndio.

Kutokana na Katiba ya Chama,Viongozi hawa wapya waliochaguliwa leo wanakua ni wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA.
Haya mambo ya uchaguzi wa ndiyo au hapana hivi yanapatikana nje ya bara letu pendwa la Africa?. Ni uchaguzi wa ajabu kidogo!
 
Huo ulikuwa ni mikao cha siasa cha ndani. Wamefanya uchaguzi Polisi hawakuzuia. Tena nafasi 3. Kwa nini wanashadadia uchaguzi wa CCM tena wa nafasi moja tu?
 
Mmemaliza kuchaguana kwa ndio au hapana sasa ,Bavichaaa tukutane Dodoma kushangilia Magufuli akipewa uenyekiti.
 
Bavichaaa wanahaha kutafuta mbinu za kumfanya Lowasa aanze kuwachangia tena baada ya ukata kuwakumba..

Lkn EDO alishawashitukia , mlimdanganya sana kwamba anakubalika na mna kura million 10, mkamtengenezea hadi picha za mafuriko feki ili kuyaponda mabilioni yake .!;
Lkn sasa Mzee amewagunndua nyinyi majizi ,EDO hatawapa hela tena, tafuteni kazi halali za kufanya ili mpate hela na siyo kushinda kwenye mitandao ya kijamii kujipendekeza kwa mwanaume mwenzenu !!!

ushoga umekuhasili kichwani!
 
Back
Top Bottom