Viongozi wa kisiasa wanaweza kujifunza kwa Rais wa Marekani

mwachewangu

Senior Member
May 4, 2011
111
41
Tokea Donald Trump haingie madarakani kila mtu amekuwa akifatilia kuona nini ambacho marekani inafanya.

Kila ambacho viongozi wa wetu wa siasa ningependa ijufunze kwa kuendeleza nchi yetu ni kauli ya bilionea wa Mexico Carlos Slim alivyomuelezea Raisi wa Marekani "
"he urged others to read it as a way to understand the new American leader. After thumbing through a few pages, Slim quoted directly from the book to explain why Trump's governing principles may not always be politically correct. Trump's strategy, according to Slim, is to shock and provoke. But in the end, Slim said, Trump's "not a terminator, he's a negotiator."

Ni wakati sasa viongozi wetu wakajifunza kuwa manegotiator kwa maslai ya nchi yetu kwa ujamla na si kufungua milango ya misaada kwa asilimia mia katika kuendesha nchi........
 
Back
Top Bottom