Mkuu Kwakuwa Raisi ni mkatoliki, hutosikia kiongozi yeyote wa kidini akikosoa, hutowasikia Tamwa , Tawla , haki za binadamu, wana wanasheria na wanaharakati mbalimbali wakikemea na kukosoa, Ingekuwa Raisi muislam pangekuwa hapatoshi muda huu, mara maandamano mare matamko! Missing you JK baba wa demokrasia ya ukweli Tanzania, ulimsikiliza kila mtu whether ni ccm or mpinzani!