Watu wengine ukikosa cha kuandika ni bora usome mawazo ya wenzako, sasa wamenunuliwa na jumapili wanapiga kampeni ya nguvu wapi hujui jumapili ni siku ya uchaguzi halafu Shekhe Mohamed Idd Mohamed atapigia kampeni kanisa gani hiyo jumapili, acha uongo wewe.Jamani JF, Viongozi wa dini hasa Wakristo wamenunuliwa leo kwa pesa chafu na JK na wameandaa magazeti kwa ajili ya kumpigia kampeni na kumsafisha JK siku ya tarehe 30.10.2010. Miongoni mwao yapo Umma linalochapwa kila siku ambalo lilikuwa la wiki, Hoja lililokuwa litoke 29.10.10 ila linatoka 30.10.10 na Nyakati linalochapwa mara mbili yaani 30.10.10 lenye kumpigia kampeni JK na lile la kawaida litakalotoka 31.10.10 siku ya uchaguzi
Watumishi hawa waliokula Mlungula kuiuza nchi yao kama Yuda Iskariote ni Mch. Steven Ibrahim, Sheikh Mohammed Idd Mohammed, Askofu Mkuu David Batenzi wa PCT, Mwinjilisti Inncent Bilakatwe, Askofu Sylvester Gamanywa na Mhariri wa Gazeti Nyakati, Mr. Arnold kwa uchache. Listi iko ndefu sana.
Na wamepanga kuendesha kampeni ya nguvu sana siku ya jumapili ya uchaguzi kuhakikisha JK anashinda.
Mungu tusaidie na viongozi hawa wa dini wapenda pesa bila kuangalia maslahi ya Taifa na Watanzania, watu wanaojali matumbo yao kuliko utu wa Watanzania na vizazi vyao.
Nazungumzia viongozi wa dini ya kikristo walionunuliwa wewe, subiri asubuhi nenda meza ya magazeti kisha ndo uje u comment hapa!
Mkuu JK bado ni incumbent president, kukutana na viongozi wa dini Ikulu hilo sio tatizo.. Hayo magazeti yasikupe shida watanzania ni waelewa sana na siamini kama watayumbishwa na habari za magazetini....Cha msingi ni kuwa wale tulio na imani na CHADEMA tuitumie siku ya jumamosi kupiga kampeni kwenye daladala, masokoni na kumake SMS na calls to our beloved ones tukiwakumbusha waamke mapema jumapili ili tukakomboe nchi yetu toka mikononi mwa wezi wachache.
ila ushawishi wanaouandaa ndo unanitia mashaka wapo wakristo upepo watakaofuata mkumbo
Hoja ya kipuuzi kabisa hii.punguza hofu mzee, tupige kampeni za lala salama, magazeti acha waandike wanachotaka
Hivi wewe mamluki mbona unashikilia hoja moja tu??? eti tusihofu kwa kuwa watanzania ni waelewa basi magazeti yaachwe yaandike yapendavyo. Unajua ni nani anaandika hizo ishu???Mkuu Slaa anagombea kuwa rais wa waTz wote, hiyo hofu ya watu kufata mkumbo iko dunia nzima kwenye chaguzi, hawa huwa wanaitwa "undecided voters" tunachotakiwa kama nilivyoshauri hapo juu cha maana ss tuendelee na kampeni hadi dkk ya mwisho kuhakikisha kila mtanzania anampigia kura Slaa. Slaa anagombea urai wa watanzania, wote bila kujali dini/makabila yao.
MkuuJamani JF, Viongozi wa dini hasa Wakristo wamenunuliwa leo kwa pesa chafu na JK na wameandaa magazeti kwa ajili ya kumpigia kampeni na kumsafisha JK siku ya tarehe 30.10.2010. Miongoni mwao yapo Umma linalochapwa kila siku ambalo lilikuwa la wiki, Hoja lililokuwa litoke 29.10.10 ila linatoka 30.10.10 na Nyakati linalochapwa mara mbili yaani 30.10.10 lenye kumpigia kampeni JK na lile la kawaida litakalotoka 31.10.10 siku ya uchaguzi
Watumishi hawa waliokula Mlungula kuiuza nchi yao kama Yuda Iskariote ni Mch. Steven Ibrahim, Sheikh Mohammed Idd Mohammed, Askofu Mkuu David Batenzi wa PCT, Mwinjilisti Inncent Bilakatwe, Askofu Sylvester Gamanywa na Mhariri wa Gazeti Nyakati, Mr. Arnold kwa uchache. Listi iko ndefu sana.
Na wamepanga kuendesha kampeni ya nguvu sana siku ya jumapili ya uchaguzi kuhakikisha JK anashinda.
Mungu tusaidie na viongozi hawa wa dini wapenda pesa bila kuangalia maslahi ya Taifa na Watanzania, watu wanaojali matumbo yao kuliko utu wa Watanzania na vizazi vyao.
Mkuu
ulichikiandika ni sahihi na adili kabisa. ila ogopa hawa wanaokuaminisha kwamba hakuna madhara ya hao viongozi kuhongwa. Fahamu kwamba hapa jukwaani kuna wengine wanapiga kelele mpaka povu linawatoka wakikemea ufisadi lakini hawana tofauti na mbatia na mrema. Ni malaya wa kifisadi yaani wametumwa kufanya walichotumwa hapa.
Usiwe mwepesi wa kukubaliana na hoja nyepesi
ila ushawishi wanaouandaa ndo unanitia mashaka wapo wakristo upepo watakaofuata mkumbo
roho inaniuma kuona wanauza utu wa watanzania kwa vipande vya fedha