Viongozi wa dini, Wanaharakati na wanasiasa itisheni maandamano ya amani kushinikiza upatikanaji wa Katiba Mpya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Sitasema mengi ila eleweni huu si wakati wa kuendelea kutoa matamko bali ni wakati wa kuchukua hatua na hatua mojawapo ni kudai kupatikana kwa katiba mpya.

Nawashauri mkutane na mpange siku ya kuitisha maandamano ya amani kuwataka watawala watupatie katiba mpya.

Maandamano ni haki ya kikatiba na yapo kwa mujibu wa sheria hivyo ni haki yetu na watawala wameapa kulinda Katiba na si vinginevyo.

Matamko hayawezi kuleta mabadiliko tunayoyataka.
 
Back
Top Bottom