Tumuulize kwanza Dr Jakaya Mrisho Kikwete ambaye hajielewi kama yeye ni Gamba au ni Gambuka,yote ya yote ni pale anapokataa maamuzi yake mwenyewe aliyoyapitisha kwenye baraza lake la mawaziri ,anajiagiza mwenyewe na kujitukana mwenyewe , hajui kipi ni cha kutekelezwa na CC ya CCm au serikali mwaka mzima anatrot tu dunia nzima,maisha yapangiki ,ndio wa kumueleza unayosema ya mwaka Lema hana serikaliMwaka mmoja umeshapita na kwa Arusha hakuna lolote bali malumbano yanayoishia makao makuu ya CDM.
Kubomoa rahisi ngoma ipo katika kujenga.
I always say Lema ni Tingatinga
Mwaka mmoja umeshapita na kwa Arusha hakuna lolote bali malumbano yanayoishia makao makuu ya CDM.
Kubomoa rahisi ngoma ipo katika kujenga.
wabunge wengi wa chadema hawatarudi bungeni wengi wameendekeza kutafuta umaarufu kupitia bunge huku wamesahau kutimiza ahadi zao majimboni
Acha kufikiria miaka 50 ambayo inaelekea ulikuwa hujazaliwa bado , fikiria ya sasa na baadaye.Siyo siri matumaini ya watu wa Arusha yamepotea,.Taka hazizolewi, barabara hazitengenezwi mipango ndo imesimama kisa -"mpiganaji" Lema a.k.a mwizi wa magari.(siyo mimi niliye sema , ni Zombe)<br />
<br />
watu kama huyu wasioweza kuona kwamba miaka 50 chini ya magamba hatujapata maendeleo na bado wanaisfia huku wakihoji maendeleo ya arusha kwa miezi tisa ni janga la familia zao na taifa kwa ujumla. Si ajabu ukaongezeka kwenye list ya watakaojitoa roho 2015 chadema itakapochukua uongozi wa nchi.
kweli kabisa mazezeta yanayopumbazwa na hela za mafisadi ndo bado yanaamini kuwa wabunge wengi wa CDM watashindwa kumbe yanajidanganya,maana mafisadi na majizi yanakereka sana yanapoona wabunge makini wa CHADEMA wakiwapigia kelele wanapoiba mali ya watanzania na wananchi tumeshajua hilo HATUDANGANYIKI ccm mtatuona 2015mkuu hilo mbona liko wazi. wengi tunajua hivyo isipokuwa mazezeta machache tu ambayo yamelishwa jaziba kama lile lililomuuliza ndugai kuhusu ushaidi wa akina lema na lisu. Jaziba.
Bibie mbona wajichanganya kiakili.Tumuulize kwanza Dr Jakaya Mrisho Kikwete ambaye hajielewi kama yeye ni Gamba au ni Gambuka,yote ya yote ni pale anapokataa maamuzi yake mwenyewe aliyoyapitisha kwenye baraza lake la mawaziri ,anajiagiza mwenyewe na kujitukana mwenyewe , hajui kipi ni cha kutekelezwa na CC ya CCm au serikali mwaka mzima anatrot tu dunia nzima,maisha yapangiki ,ndio wa kumueleza unayosema ya mwaka Lema hana serikali
Haki haitapindishwa kwa sababu ya waroho fulani
Bibie mbona wajichanganya kiakili.
Hivi mada inasemaje-Viongozi wa dini wamvaa Lema, s
Sababu?-haonyeshi kukidhi matarajio ya wananchi.
Sasa unapoongelea suala la kutrot kwa JK (kitu ambacho hata mimi sikiungi mkono), je wananchi wa Arusha walimchagua ili aratibu safari za JK au la?
Mwambieni tu jamaa yenu bado miaka minne, aendelee kupiga domo bila kuratibu maendeleo ya waliomchagua.