Viongozi wa chama na serikali,tujifunze kufuata maelekezo na maonyo!Tumechoka kuzika wanachama!!

Viongozi wa chama na serikali,tujifunze kufuata maelekezo na maonyo!Tumechoka kuzika wanachama!!

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
3,662
Reaction score
6,906
TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao!

KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active Kwa mstakabali ujao wa taifa!wao ndio walimshauri kikwete asimamie uandishi wa Rasimu ili baadae owe katiba mpya!!

Sasa unapopewa kijiti usimamie hayo na kujiona unazo means za kuwa outsmart walioianzisha TANU ,ASP na CCM no kujidanganya sana na hiyo itaumiza wengi ambao walikuamini kwa kufikiri ungewalinda na dhahma za wenye Dola na waasisi wa neno jamuhuri tuliyonayo!!

Mimi nadhani ifike hatua tuache kuhatarisha maisha ya wanachama Kwa kutofuata maelekezo coz vita vya tembo vitaumiza majani na panzi!!

Bado tuna nafasi ya kuepusha haya muda tunao na midomo ya kuongea pia tunayo!!

Nashauri Kwa upendo!
 
Back
Top Bottom