Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
Ni kweli ila ni jana usiku cyo hivi pundeHabari mbaya hivi punde. Mhe. Makam mkt Prof. Safari na katib mkuu Bavicha Julius Mwita na dereva wao Abasi Wamepata ajari mbaya ya gari Singida itigi kitalaka, wako salama japo hali ya Dereva sio nzuri, wote wapo hospital kwa uchunguzi, gari ina hali mbaya kidogo.Tuwaombee wazidi kuimarika kiafya ya mwili na roho... Amen. Source: Kiongozi wa Chadema View attachment 384589
Ok Ok asante, tuwaombee!!Ni kweli ila ni jana usiku cyo hivi punde
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kapatia basi test yakeHa ha ha hakuna ukomavu wowote anatest tu hapo