walioshiriki katika kura hiyo ni watu wa JF tu. Asilimia 99.9 ya wa tz hawatumii mtandao unalijua hilo
Wengi hawalijui hilo!Aslimi 90% ya Watanzania hawana umeme !Sijui huo mtandao wataupata saa ngapi!Kuna jambo nimeligundua kuna watu huwa wanaingia humu JF kila siku wameshakuwa na mazoea wanafikiri JF ndiye Tanzania nenda kijiji chochote Tanzania Uliza swali dogo tu"Eti mliwahai kusikia mtandao unaitwa Jamii forums?