Viongozi wa CHADEMA Waongoza kwa Umaarufu Tanzania

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
863
Kutokana na Utafiti uliofanyika humu ndani ya JF ya kutafuta wanasiasa maarufu na watu kadhaa kwa hiyari yao kupiga kura..Kumi bora zimepatikana na CHADEMA kuwa kinara..

Kati ya kumi bora,watatu watoka CHADEMA ,washika nafasi za juu..CUF yaambulia mmoja tena nafasi ya tisa,Ni Maalim Seif,Prof Lipumba hayumo kwenye kumi bora.

Kwasababu hiyo basi CHADEMA ndio chama pekee chenye viongozi maarufu kuliko chama kingine chochote cha siasa hapa nchini.

Dr Slaa awaacha mbali kina JK. Mbowe ampiku Maalima Seif na Lipumba

CHADEMA:Mabadiliko ya Kweli na Uhuru wa kweli

Slaa trounces peers in popularity poll

By Patty Magubira, Mwanza

The secretary-general of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dr Willibrod Slaa, has been voted the most popular politician in the country in an online poll.

Dr Slaa garnered 180 votes, equivalent to 52. 33 per cent of 343 votes cast on the Jamii forums’ post by Wednesday afternoon, leaving 16 other prominent politicians in the country on his trail.

The Chadema deputy secretary-general, Mr Zitto Kabwe, has been voted second followed by President Jakaya Kikwete, former Prime Minister Edward Lowassa and Livestock Development and Fisheries minister, Dr John Magufuli in that order.

While Mr Zitto scooped 43 votes equivalent to 12.50 per cent, President Kikwete, Mr Lowassa and Dr Magufuli got 21, 15 and 14 votes respectively, which is equivalent to 6.10, 4.36 and 4.07 per cent, respectively.

The Chadema national chairman, Mr Freeman Mbowe, Water and Irrigation minister Prof. Mark Mwandosya and secretary-general of the Civic United Front (CUF) Seif Shariff Hamad garnered 10 votes each, which is equivalent to 2.93 per cent for each.

Another former Prime Minister Dr Salim Ahmed Salim got nine votes, equivalent to 2.64 per cent, followed by Dr Harrison Mwakyembe (CCM-Kyela) and prominent businessman-cum Member of Parliament for Igunga constituency Mr Rostam Aziz, who got eight and seven votes respectively, an equivalent of 2.35 and 2.05 per cent respectively.

The incumbent Prime Minister Mizengo Pinda managed five votes, an equivalent of 2.35 per cent, while the CUF national chairman Prof Ibrahim Lipumba, the national chairman of Tanzania Labour Party (TLP), Mr Augustine Mrema and Same East MP Anne Kilango Malecela got three votes each.

Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe and Zanzibar President Amani Abeid Karume got two and one votes, respectively.

Over 17,000 members and visitors of the popular online forum in the country are allowed to take part in the poll that is aimed at identifying a politician whose conduct is considered most attractive to voters and is therefore qualified to become a government leader.

Some members of the forum, popularly known by its acronym JF, however question the criteria used for defining popularity, contending that although some politicians were well known throughout the country, they were poor in performance.

“I will be grateful if I get clarification before I cast my vote,” said one of JF’s senior expert members, as another premium member of the forum wonders if Chama Cha Mapinduzi (CCM) has anything attractive to keep outspoken lawmakers such as Dr Mwakyembe in its fold.

Dr Magufuli could follow Dr Slaa closely if the politician’s performance is considered as part of criteria used in voting, concluded another JF senior expert member.

Other opinion polls carried out in the forum touch on issues such as the union of Tanganyika and Zanzibar, the possibility of registering JF as a political party and the efficacy of the National Strategy for Growth and Poverty Eradication, popularly known as Mkukuta in its Kiswahili acronym.

On the union poll, over 64 per cent of the 206 voters so far are in favour of breaking the marriage between Tanzania Mainland and the Isles, as opposed to over 35 per cent who support it and 0.31 per cent who are undecided.

Source: The Citizen
 
Nashauri CHADEMA mpendekeze Dr Slaa ndio awe mgombea Urais.He is a presidential material
 
Nami nakubaliana kabisa na utafiti huu unaonyesha uhalisia wa mambo tofauti na zile za REDET ambazo mara nyingi zinaelekea kuwapamba watawala wetu walioshindwa.Natumaini huko mbele itazidi kuonyesha hivyo maana ndio wakati ambao watawala wetu watalazimika kujibu yale waliyoahidi na kuyatenda.Kila la kheri CHADEMA na wanachama na wafuasi wenu
 
Kutokana na Utafiti uliofanyika humu ndani ya JF ya kutafuta wanasiasa maarufu na watu kadhaa kwa hiyari yao kupiga kura..Kumi bora zimepatikana na CHADEMA kuwa kinara..

Kati ya kumi bora,watatu watoka CHADEMA ,washika nafasi za juu..CUF yaambulia mmoja tena nafasi ya tisa,Ni Maalim Seif,Prof Lipumba hayumo kwenye kumi bora.

Kwasababu hiyo basi CHADEMA ndio chama pekee chenye viongozi maarufu kuliko chama kingine chochote cha siasa hapa nchini.

Dr Slaa awaacha mbali kina JK. Mbowe ampiku Maalima Seif na Lipumba

CHADEMA:Mabadiliko ya Kweli na Uhuru wa kweli

Kweli ukipenda unaweza kugeuka kichaa. Hivi unategemea kupata utafiti gani wa maana kutoka JF?
 
Mi sikubalian na huo utafiti, majibu si ya uhalisia, sijui waliangalia vigezo gani kuwapata hao maarufu. siwezi kukubaliana kuwa Slaa ni maarufu kumzidi Raisi wa nchi, to what perspective? Nimegundua kuwa wengi memba wa JF ni Chadema wanapiga kura kwa uchama si uhalisia.
 
Nashauri CHADEMA mpendekeze Dr Slaa ndio awe mgombea Urais.He is a presidential material

.
Pamoja na kwamba ni ushauri mzuri lakini hata hivyo umuhimu wa Dr Slaa bungeni ni zaidi ya kuwa Rais. Tunahitaji vichwa zaidi kama vya Slaa pale mjengoni. Na kama tukiviondoa bungeni, bunge litarudi kule kule '47.
 
Huwa sipendi kuingia katika mijadala inayohusu watu lakini mimi nasema kama watanzania wengi wangekua na Elimu basi CCM ingekua buried 6 fts down by now

Ukiangalia wasomi wengi wanaikubali CHADEMA kuliko CCM,hata ukiona wasomi walio ndani ya CCM aidha ni wale wa kubahatisha taaluma zao au wale wasomi wa kweli but wameamua kuishi kwa fedheha huku wakiomba Mungu siku moja wajikute ndani ya CHADEMA ikiwa na madaraka.Kilichowaweka huko ni maslahi binafsi tu lakini kama ishu ni maslahi ya kitaifa basi hawana shaka kabisa wangekuwa ndani ya CHADEMA

Dr.Slaa hana mfano ktk siasa za Tanzania.Amekomaa kisiasa,tukipata watu kama slaa nawatu wachache ndani ya CCM kama Magufuli ,Selelii na Lembeli ambao uzalendo wao hauna shaka basi Tutapiga hatua kubwa sana

Akina Mnyika,kitila nk ni hazina kubwa kwa taifa hili...
 
Uzalendo wa Magufuli na Selelii ambao unategemea zaidi na vigezo vya uzalendo kwa mujibu wako siwezi kuupinga. Lakini LEMBELI nasema HAPANA KABISA.

Ben, hivi viongozi wazalendo ni kina John tu na kwako wewe hakuna Ally anayepita kipimo chako cha uzalendo?

omarilyas
 
Well, nakubaliana na mtazamo huu wa kiutafiti kama umetumia sample ya wana JF. Unajua kwa muda mrefu sana watanzania waligandamizwa na mfuno wa kisocialist ukawafanya wawe waoga kuzungumza uwazi wa mambo. Hebu angalia ccm inapata wapi kura nyingi, na kwa watu wa aina gani, baada ya kujibu hilo swali ndio utaelewa kwamba wana JF wengi wamefunguka na wanaufahamu wa kuelewa kipi kinafaa na kipi sio. Waswahili husema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
 
utafiti huu ni sahihi, japo si sawa................ ukisoma kura ya maoni inayooendeshwa hapa JF juu ya mwansiasa maarufu tz ni wazi dr slaa ndiye maarufu zaidi......... so alichosema GS ni sahihi kabisa............ najua kila utafiti una mapungufu yake ndo maana tunahimizwa kutafakari matokeo ya kila tafiti na si kuyameza hivyohivyo yalivyo............... almost ila aliyechangia yuko sawa kabisa...........

dr slaa like any bidy else in this country who is 40+ years old, si presidentilal material..........
 
Mkuu Omarylyas,

Nashukuru sana kwa kukubaliana na kupingana

But i can smell some grains of Udini.Let me hope sijaelewa vizuri.Ila sijazingatia itikadi za kiimani

Ok,mkuu kuna akina Salim Ahmed Salim, Hamad Rashid etc

Pia kuna watu kwa kweli kama Lembeli namwona ni mzalendo kuliko hata baadhi ya wawakilishi kutoka opposition camp waliotusaliti juzi na kuunga mkono itifaki ya soko la pamoja bila ya kujali maslahi ya watanzania kwa sasa.Tena mbaya zaidi hoja dhaifu iliyojengwa na mbunge kijana kabisa mh.Zitto mwenye taaluma ya uchumi.Yaani watu baadala ya kuwakilisha wananchi wanamuwakilisha Rais,kujipendekeza kwa aina hii na ubinafsi huu utatupeleka pabaya.Kwanza vyama vya upinzani toeni msimamo wenu kuhusu soko la pamoja,acheni huu unafiki wa kisiasa

Heri John Mnyika ,amechukua hatua na kujenga hoja ya kutaka mjadala wa kitaifa kwanza kwenye hilo swala.

Yaani watanzania ni kama tumebaki yatima.Watu wanaangalia maslahi yao tu

Sorry kwa kutoka nje ya mada though
 
Huwa sipendi kuingia katika mijadala inayohusu watu lakini mimi nasema kama watanzania wengi wangekua na Elimu basi CCM ingekua buried 6 fts down by now

Ukiangalia wasomi wengi wanaikubali CHADEMA kuliko CCM,hata ukiona wasomi walio ndani ya CCM aidha ni wale wa kubahatisha taaluma zao au wale wasomi wa kweli but wameamua kuishi kwa fedheha huku wakiomba Mungu siku moja wajikute ndani ya CHADEMA ikiwa na madaraka.Kilichowaweka huko ni maslahi binafsi tu lakini kama ishu ni maslahi ya kitaifa basi hawana shaka kabisa wangekuwa ndani ya CHADEMA

Dr.Slaa hana mfano ktk siasa za Tanzania.Amekomaa kisiasa,tukipata watu kama slaa nawatu wachache ndani ya CCM kama Magufuli ,Selelii na Lembeli ambao uzalendo wao hauna shaka basi Tutapiga hatua kubwa sana

Akina Mnyika,kitila nk ni hazina kubwa kwa taifa hili...

Uzalendo wa Magufuli na Selelii ambao unategemea zaidi na vigezo vya uzalendo kwa mujibu wako siwezi kuupinga. Lakini LEMBELI nasema HAPANA KABISA.

Ben, hivi viongozi wazalendo ni kina John tu na kwako wewe hakuna Ally anayepita kipimo chako cha uzalendo?

omarilyas

hivi kumbe JF ina atu wanaochekesha sana??!!!!!!!!!!!!!!!............ hahah iabidi tuandike kwenye JF home page "UMRI MIAKA 18"..... LABDA ITASAIDIA.....
 
Mhhhhhhhhh
Hao wazee wanatimuka moshi tu. Wazee wote wanamawzo ya ki-communist wanatakiwa wakae bench
 
wazee huu utafiti utakuwa na kasoro, utafit gani ambao hauonyeshi idadi ya wanajamii waliopiga kura, umri wao, elimu yao,kipato chao na hata ikibidi wanajishughulisha na nini na hii research imefanyika lini na kwa muda gani.Sitegemei kama mtu hana kazi halafu ampigie kura kiongozi aliyeko madarakani hata kama anafanya vyema.
Msitake kuwaingizia wana JF majibu vinywani, that is it doesn't make sense.Kumbukeni hii JF ina members wengi sana na wenye status za aina mbali mbali,kwa hiyo tujiepushe na mambo ya vijeweni ili tujenge taifa adilifu, imara lenye kutumia nguvu ya hoja kuchanganua matatizo yanayotuzunguka ili kujiletea maendeleo ya kweli.Tukianza kuingiza ushabiki wa kisiasa hapa hatufiki popote,TOA TAKWIMU ZA RESEARCH YAKO NA SIYO MANENO MATUPU.
 
Kutokana na Utafiti uliofanyika humu ndani ya JF ya kutafuta wanasiasa maarufu na watu kadhaa kwa hiyari yao kupiga kura..Kumi bora zimepatikana na CHADEMA kuwa kinara..

Kati ya kumi bora,watatu watoka CHADEMA ,washika nafasi za juu..CUF yaambulia mmoja tena nafasi ya tisa,Ni Maalim Seif,Prof Lipumba hayumo kwenye kumi bora.

Kwasababu hiyo basi CHADEMA ndio chama pekee chenye viongozi maarufu kuliko chama kingine chochote cha siasa hapa nchini.

Dr Slaa awaacha mbali kina JK. Mbowe ampiku Maalima Seif na Lipumba

CHADEMA:Mabadiliko ya Kweli na Uhuru wa kweli

walioshiriki katika kura hiyo ni watu wa JF tu. Asilimia 99.9 ya wa tz hawatumii mtandao unalijua hilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom