Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

Hizo ndizo sera zao, muda unakwenda wananchi wakiwapiga kibuti kwa kuwa hawana sera watadai wameibiwa kura.

Subiri 2015,hata baba yako Jk alisema msihangaike na vyama vya misimu sasa hivi kichwa kinamuuma mpaka basi.
 
Nakujibu kwa kifupi ni kwamba wametoa number ya spika(kama kiongozi ) na naibu spika(kama kiongozi),hawajatoa number za Anne makinda wala ndungai,mbona raisi alitoa number yake na wala hakutoa number ya kikwete!!!!
Hakuna sheria inayozuia kutangaza namba ya simu au anwani ya mtu mwingine
 
Scramble mayai au nani vile jinalo???Nilifikiri upo duniani kumbe lah!!!Wajitambua kweli?Yaani wewe katika dunia hii ya kupanga ni kuchagua unaona ni ajabu mfuko wa CEMENT KUUZWA 5,000/=Tshs?¿¿?NI NINI KINACHOKUFANYA UJITIE HAMNAZO?
Sawa mkuu; anajua harafu ya yai bovu lililokuwa scrambled!!
 

CCM siyo watu wakubembelezwa hata kidogo wewe, yaani ni sawa kutafuta urafiki na fisi akulindie butcher. Nyie ndo wale tunaowaita comformist! Mnataka kucomform kwenye kila situations, hata na fisi. Utaliwa wewe, butcher lako, nyumba yako na vijimifugo kama unavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…