Viongozi wa CHADEMA mna agenda gani na nchi yetu Tanzania?

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Enyi viongozi wa CHADEMA, Chama kiuu cha upinzani, na hasa wa kichaguliwa, mna agenda gani na nchi yetu Tanzania?

Hilo swali naliekeza kwa wafuasi na mashabaki wenu humu JF wawasemee. Kama ilivyo desturi mchangiaji wa kwanza ataweka matusi, tena ya nguoni, kuthibitisha kiwango cha upeo wake wa kujadili hoja.

Nafafanua swali langu kwa hoja zifuatazo:
1) Mnatumia vyombo vya habari kuikashifu Serikali iliyoko madarakani badala ya kuikosoa na kuoshauri kwa mstakabali wa maendeleo ya nchi!
2) Wabunge mnasusia vikao vya bunge badala ya kuwawakilisha wapiga kura!
3) Madiwani mnahamahama chama chenu kinyume na matarajio ya wapiga kura wenu!
 
Unaboa kuliko UHURU,TBC na RTD ya Zamani na nyimbo zao hadi mbwa akisikia anajua ni muda wa kula,muda wa kunya. Karibia hiyo tape iharibike,utakuwa na kalamu ya kuzungushia ikikwama na celotape ya kuunga.
 
Aisee! Huwezi kuleta hoja ya kila kitu kwa wakati mmoja. Chagua kama unataka kuzungumzia viongozi wa CHADEMA ama unataka kuzungumzia matendo ya CHADEMA.

Halafu kashfa maana yake nini. Kwa mfano mtu akikwambia wewe kuwa ni CCM atakuwa amekukashifu?
 
Ukweli daima haufichiki, na ukweli wa nani alimshambulia Mh Lissu utakapojulikana, siasa za majitaka na uchwara zitakuwa wazi.

Fumbo hufumbiwa mjinga
 
Kama ambavyo matendo ya kiongozi wa CCM mnavyoyahusisha na chama, mnapokebehi na kulaumu.

Huwezi kutenganisha chama na viongozi wake. Chama ni sera na itikadi zake. Kiongozi wa chama ni jinsi anavyoishi katika sera na itikadi za chama chake. Walau tunajua sera za CCM, lakini za CHADEMA anazifahamu M/Kiti wake na mwasisi wa chama hicho.
 
Aisee! Huwezi kuleta hoja ya kila kitu kwa wakati mmoja. Chagua kama unataka kuzungumzia viongozi wa CHADEMA ama unataka kuzungumzia matendo ya CHADEMA.

Halafu kashfa maana yake nini. Kwa mfano mtu akikwambia wewe kuwa ni CCM atakuwa amekukashifu?
Mkuu wangu, with all due respect, mtu akiniambia mimi ni Sisiemu, Wallah ntamtusi vizuri sana. Mimi sisiemu? Holy moly!
 
Kwenye hili la kushambuliwa kwa smg hata watoto wadogo wanawajua ni nyie. Na sababu ni kushindwa kujibu hoja na kukosa uvumilivu wa kisiasa.
Kama unavyodai ni mtoto mdogo tu ambaye anaweza kuhusisha tendo ovu hilo na siasa. Haiingi akilini mwa mtu mzima na makini, kudhani Serikali inaweza kufanya tendo la kinyama hivyo, mchana kweupe kwa mtu mashuhuri na maarufu. Mbona kuna njia nyingi hufanywa na Serikali nyingi tu duniani kuwanyazisha wapinzani wao! Au unaishi dunia gani, Mkuu tindo!
 
Dalili zilianza mapema, walipoanza kurusha ndege za kijeshi kuzuia maandamano ilikuwa dalili tosha. Tushukuru busara za viongozi kuahirisha maandamano yale
 
Ukweli daima haufichiki, na ukweli wa nani alimshambulia Mh Lissu utakapojulikana, siasa za majitaka na uchwara zitakuwa wazi.

Fumbo hufumbiwa mjinga
Sasa kuharakisha ukweli kwa nini tu msikubali wachunguzi kutoka nje ili kuondokana na siasa za maji taka ulizomaanisha hapa?

Sasa mbona fumbo hili unajifumbia mwenyewe
 
Kama unavyodai ni mtoto mdogo tu ambaye anaweza kuhusisha tendo ovu hilo na siasa. Haiingi akilini mwa mtu mzima na makini, kudhani Serikali inaweza kufanya tendo la kinyama hivyo, mchana kweupe kwa mtu mashuhuri na maarufu. Mbona kuna njia nyingi hufanywa na Serikali nyingi tu duniani kuwanyazisha wapinzani wao! Au unaishi dunia gani, Mkuu tindo!

Mkuu kumbe ww unawakilisha serekali hapa, maana nimesema nyie bila kutaja kundi lolote. Ila ww kwa kujishuku ikabidi ujitaje. Sawa ndugu yangu endeleeni lakini haya mambo huwa hayaishagi hivi hivi. Unaweza kuamini kuna watu wanahojiwa sasa kwa mauaji enzi za Idd Amini?
 
Kama unavyodai ni mtoto mdogo tu ambaye anaweza kuhusisha tendo ovu hilo na siasa. Haiingi akilini mwa mtu mzima na makini, kudhani Serikali inaweza kufanya tendo la kinyama hivyo, mchana kweupe kwa mtu mashuhuri na maarufu. Mbona kuna njia nyingi hufanywa na Serikali nyingi tu duniani kuwanyazisha wapinzani wao! Au unaishi dunia gani, Mkuu tindo!

Hili liko wazi sana mkuu kiuna kila sababu ya kunyooshea walinzi wetu vidole kwenye hili. Hasa likisomwa matukio yaliyoombatana na hilo hitimsho la jaribio la kuua.
 
Enyi viongozi wa CHADEMA, Chama kiuu cha upinzani, na hasa wa kichaguliwa, mna agenda gani na nchi yetu Tanzania?

Hilo swali naliekeza kwa wafuasi na mashabaki wenu humu JF wawasemee. Kama ilivyo desturi mchangiaji wa kwanza ataweka matusi, tena ya nguoni, kuthibitisha kiwango cha upeo wake wa kujadili hoja.

Nafafanua swali langu kwa hoja zifuatazo:
1) Mnatumia vyombo vya habari kuikashifu Serikali iliyoko madarakani badala ya kuikosoa na kuoshauri kwa mstakabali wa maendeleo ya nchi!
2) Wabunge mnasusia vikao vya bunge badala ya kuwawakilisha wapiga kura!
3) Madiwani mnahamahama chama chenu kinyume na matarajio ya wapiga kura wenu!
Kaungane na Jerry muroho. Naona mnatafuta attention yawatu
 
Wanatupeleka kunakostahili so far tumepotea njia kama taifa Next......
 
Hakuna upinzani nchi hii
hawa wapotoshaji na wanao wadidimiza watanzania
badala ya kuwasaidia kimaendeleo wanazidi kuwa pumbaza na kuwapotezea muda.
Tusibirie upinzani wa Akili Miaka ijayo
ni ngumu Kufeli Shule na ukafanikiwa kuongoza upinzani Unao hitaji Elimu,
Tanzania mungu atusaidie
 
Enyi viongozi wa CHADEMA, Chama kiuu cha upinzani, na hasa wa kichaguliwa, mna agenda gani na nchi yetu Tanzania?

Hilo swali naliekeza kwa wafuasi na mashabaki wenu humu JF wawasemee. Kama ilivyo desturi mchangiaji wa kwanza ataweka matusi, tena ya nguoni, kuthibitisha kiwango cha upeo wake wa kujadili hoja.

Nafafanua swali langu kwa hoja zifuatazo:
1) Mnatumia vyombo vya habari kuikashifu Serikali iliyoko madarakani badala ya kuikosoa na kuoshauri kwa mstakabali wa maendeleo ya nchi!

Serikali mbona wameshajikashifu na kujichafua hadi wananuka kwa kuua raia wasio na hatia na kukataa uchunguzi usifanyike- Ukweli swali hili mwelekezee Bashite na mwenye nchi aliyevigeuza vikosi vya ulinzi kuwa vikosi vya mashambulizi kwa wananchi!

2) Wabunge mnasusia vikao vya bunge badala ya kuwawakilisha wapiga kura!
Swali zuri Hivi wewe ukiwa na mgonjwa utaenda kazini?
3) Madiwani mnahamahama chama chenu kinyume na matarajio ya wapiga kura wenu!
Waulize wanunuaji wa madiwani unawajua nenda kwenye halimashauri ya wilaya Meru utakuta soko la madiwani
 
Back
Top Bottom