Viongozi wa CHADEMA jimbo la Singida Mashariki wasimamishwa kwa kushiriki shughuli za maendeleo

chama kiko kwenye media??? Wamefuata taratibu za grievances ndani ya chama hawajasikilizwa??

Nashawishika kuamini hao ni mamluuki wa chiligati, mwigulu and company.

hili nalo ni tatizo jingine...kwa nini huwa hampendi kukosolewa
 
Chadema ni chama cha ajabu sana wao maendeleo ni sumu wanataka watu wapate shida ili wapate la kusema kwani kuleta maendeleo ni jambo la ajabu.

Nchi inaongozwa kwa sheria hiyo sheria ya kuchangia maendeleo imetungwa na bunge gani?
 
Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013

Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na kampuni ya Shanti mining katika kuhimiza wananchi katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo ujenzi wa vyoo katika shule za msingi, ujenzi wa kituo cha polisi , na ujenzi wa vyumba vya madarasa vyote vikigharamiwa na kampuni hiyo ya shanti mining company.

Je hii ni aina gani ya siasa wanajamvi?.

Hawa viongozi kwa kauli zao wameonyesha masikitiko yao juu ya maamuzi hayo ya chama chao.

mbona hueleweki? akili za magmba bwana utazijua tu,haya kachukue buk 7 zako lumumba ukapate viroba.
 
Nchi inaongozwa kwa sheria hiyo sheria ya kuchangia maendeleo imetungwa na bunge gani?

wewe unadhani kila sheria inatungwa na bunge.....hata sheria za mtaani kwako kuhusu usafi unataka bunge likutungie
 
mbona hueleweki? akili za magmba bwana utazijua tu,haya kachukue buk 7 zako lumumba ukapate viroba.

ndio ujinga mlionao mmlewa viroba..sasa star ndio wapewe buku 7 au mimi
 
wataje kama kweli.Sisi watu wa singida hatudanyiki kirahisi jamaa,tunajua lengo lenu ni kumchonganisha mbunge T.Lissu.NAWAHAKIKISHIA KUWA LISSU NI MKOMBOZI WETU,TUNAMWAMINI NA KUMSIKILIZA.Hakuna kuchangia kitu mpaka hesabu kutoka halmashauri ikamilike,Hata hivyo 2015 sio mbali maana tunaenda kuchukua halmashauri yetu toka CCM
 
mjadala mwepesi hata book 7 leo hupati Dialo unaambiwa huko Ilemela ananunua kadi za chadema na kuwapa ubwabwa wananchi wanaompaka kadi sasa ajabu gani kwa Star Tv kufanya propaganda ha ha MACCM bwana mumechokwa kuzomewa nchi nzima munakuja kujipooza JF
 
wataje kama kweli.Sisi watu wa singida hatudanyiki kirahisi jamaa,tunajua lengo lenu ni kumchonganisha mbunge T.Lissu.NAWAHAKIKISHIA KUWA LISSU NI MKOMBOZI WETU,TUNAMWAMINI NA KUMSIKILIZA.Hakuna kuchangia kitu mpaka hesabu kutoka halmashauri ikamilike,Hata hivyo 2015 sio mbali maana tunaenda kuchukua halmashauri yetu toka CCM
zumbu kuku ulimwengu upo hukoooooooooooooooooooooooo
 
Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013

Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na kampuni ya Shanti mining katika kuhimiza wananchi katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo ujenzi wa vyoo katika shule za msingi, ujenzi wa kituo cha polisi , na ujenzi wa vyumba vya madarasa vyote vikigharamiwa na kampuni hiyo ya shanti mining company.

Je hii ni aina gani ya siasa wanajamvi?.

Gharama za shughuli nzima unazoziita za maendeleo " ujenzi wa vyoo nk" zimegharamiwa na shanta mining ambao wananchi wanalalamika kuporwa ardhi yao na kampuni hii, chadema kwa ushirikiano na wananchi wanapinga hii dhulma leo wanaitwa wadau wa maendeleo kwa kujenga vyoo AIBU!! tuache unafiki hawa shanta na makuadi wao ni wezi wanastahili kwa jela hebu tufikiri kwa vichwa badala ya mata..
 
kaka kasome sheria ya arth vizuri ujue arthi ya tanzania ni ya nani na kwa nini serekari inauwezo wa kuchukua ardhi ya wananchi japo kwa sharti la kuwalipa fidia..kama wananchi hawajalipwa fidia stahiki hio ni hoja..lakini viongozi hao hawajongelea hilo suala...wewe umepata wahi hiyo kitu
 
Kwa Wale Wasiojua Ni Kwamba Leo Hii, Hawa Jamaa Waliosimamishwa Kwa Muda Usiojulikana WaMEFUKUZWA RASMI...waliofukuzwa ni;-
-1. andrea andalu-mwenyekiti wa wilaya.
-2. WAZIRI YUSUPH aliyekuwa mjumbe na kaimu mtendaji wa kjj cha MANG'ONYI kwa muda mrefu,
-ikumbukwe pia ANDREA Andalu Aliwah Kuwa Diwan Wa Kata Ya Mang'ony Kupitia Ccm Kwa Muda Wa Miaka 10,
- Hawa Jamaa Wamekuwa Wakishirikiana Na Mgodi Wa Dhahabu Wa Shanta Mining Uliopo Katka Kata Hyo Ktk Kuwakandamiza Na Kuwanyanyasa Wananch Kwa Kuwalaghai Na Kuwaingiza Kwenye Mikataba Ya Klaghai
-pili, Andrea Andalu & Wazir Yusuph Walkuwa Wajumbe Ktk H/shaur Ya Kjj-mang'ony Kinachoongozwa Na Mzee Wetu Mpendwa Kamanda Seth Msutta Haya Majamaa Yamemhujumu M/kt Mara Nyng Ktk Vkao Hasa Ktk Swala La Mipaka Na Upmaj Wa Maeneo Ambapo Wazir Na Andalo Walshrkiana Na Kampun Ktk Kuchochea Miggoro.
-tatu, Andalu Anatuhuma Za Kutumia Hela Za Chama Vbaya Zkwemo Rambi@ Na Hela Vkao Vy Chm n.k

(MWAJIFYA AHUMBA WO KHAYA)

nne, Alihongwa Tairi 4(used) na shanta..
 
Naona buku 7 Project Fame Lumumba mmepata Thread ya kuingizia siku.
Nyie njaa zitawafanya mje kufanyiwa vitu vya ajabu kabisa...
 
Back
Top Bottom