Jamani mimi nishachoka na huu usaliti mnaoutangaza kila siku naomba mnijibu hapa. CUF na NCCR kwa sasa nao sio CCM B maana hata nao waliitwa wasaliti leo kiko wapi kama mtatujibu hapa basi tutaamini kweli ACT nao ni wasaliti vinginevyo ni porojo tu. Nasubiria jibu.

CDM ni mke mdogo wa CUF na CCM ndo bimkubwa, CUF wenyewe Waliberali unategemea nini chadema kujifungua nao ndani? Hiyo mimba ya Waliberali ndio imewakalia vibaya maana hawalali usiku wala mchana wanamuwaza mume wao wa zamani Zitto