Viongozi Simba fukuza upesi hawa Wanachama wote walioenda Yanga leo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Usaliti ni kitu kibaya sana na nikiyakumbuka na kuyanukuu maneno " kuntu " kabisa ya Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kanali Ngemera Lubinga kuwa namnukuu " sadism is inevitable when the situation is alarming " mwisho wa kumnukuu na kwa Kiswahili kizuri tu alimaanisha kuwa " ukatili hauepukiki endapo mazingira yatakuwa ni hatarishi ".

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na kama vile kuitia nuksi / shombo Simba Sports Club kwani miiko ya Kale na ya Babu zetu ilikataza kabisa leo Wanachama baadhi wa Simba wakiongozwa na MNAFIKI namba moja Klabuni Msimbazi Mzee Mwaulanga walikwenda Klabuni kwa Yanga pale pale Kaunda huku wakiwa wamevalia Jezi kabisa za Simba na kuhudhuria Press Conference ya Yanga na kwa bahati mbaya sana ilikuwa inaongozwa na ADUI namba moja wa Simba " Mropokaji Mkurupukaji " wa Yanga.

Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama Mwanachama wa Simba kwenda kukaa Klabuni kwa Yanga tena na Jezi ya timu huku akiisifu Yanga na kuwasifia Wachezaji wa Yanga.

Enyi Viongozi wa Simba fukuza upesi na haraka sana hawa Wanachama na hasa hasa huyu Mzee Risasi Mwaulanga na mkitaka kuwajua ni rahisi sana kwani wameonekana katika tv zote na picha zao zikienea mitandaoni.

Na kwa taarifa za chini chini zinasema kwamba huyu Mzee na hao Mashabiki wa Simba alioongozana nao leo asubuhi walienda kwa " Gabachori " la Yanga barabara iendayo kupanda " mbung'o " JNIA na kila mmoja kupewa kiasi cha Shilingi laki moja moja ili tu waende Klabuni kwa Yanga na kuyasema hayo waliyoyasema huku Mzee Mwaulanga akipewa Shilingi laki tano taslimu.

Nitoe tu wito na angalizo KALI kuwa kama kweli Wewe ni Mwana Simba tena " lia lia " Kesho ni mwiko na hakuna kuishangilia Yanga hata iweje na kuna kamera maalum Wana Simba tutazifunga pale Taifa ili kuwamulika wale wote watakaoshangilia Yanga au kuvaa mijezi ya Yanga na ukionekana tu Kesho kutwa tunaitisha Mkutano wa dharura na tunawafukuzeni uanachama wote na hata ukijifanya kuuchuna usoni na kushangilia " kimoyo moyo " bado hizi Kamera zetu maalum zinauwezo wa kuusoma moyo na hisia za Mtu hivyo zitakurekodi tu utaicha Kadi ya uanachama wa Simba pale pale Taifa mpira ukimalizika.

Vaeni nguo za TP Mazembe na kama huna Jezi yao basi " tinga " tu Jezi ya " mnyama mnyamani " Simba Sports Club na uingie nayo kwani kuishangilia Yanga au kuipenda Yanga ni sawa sawa na kumpenda Shetani au kukumbatia bomu la kujitoa muhanga la ISIS au Boko Haram.

Matokeo ambayo mpaka dakika hii naandika huu UZI ninao ni TP Mazembe 5 na Yanga 1 ila kuna mchezaji mmoja wa Yanga kati ya Beki au Fowadi atapewa Kadi Nyekundu ila kuna uwezekano wa Mchezaji wa Timu moja wapo KUUMIA vibaya wakati wa mchezo lakini kama haitoshi kutakuwa pia na ngumi mbili tatu nne hivi zitapigwa hasa pale VIP B wanapokaa mashabiki wa Simba na Yanga ila Police wataingilia japo kuna Mashabiki kama wawili hivi wa Yanga watang'olewa meno ya sebuleni kwa aina ya Ngumi kali na nzito ambazo " watatandikwa " na Mashabiki wa Simba. ( Yote haya nimehakikishiwa na " Babu " / " Mtaalam " ).
 
Usaliti ni kitu kibaya sana na nikiyakumbuka na kuyanukuu maneno " kuntu " kabisa ya Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kanali Ngemera Lubinga kuwa namnukuu " sadism is inevitable when the situation is alarming " mwisho wa kumnukuu na kwa Kiswahili kizuri tu alimaanisha kuwa " ukatili hauepukiki endapo mazingira yatakuwa ni hatarishi ".

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na kama vile kuitia nuksi / shombo Simba Sports Club kwani miiko ya Kale na ya Babu zetu ilikataza kabisa leo Wanachama baadhi wa Simba wakiongozwa na MNAFIKI namba moja Klabuni Msimbazi Mzee Mwaulanga walikwenda Klabuni kwa Yanga pale pale Kaunda huku wakiwa wamevalia Jezi kabisa za Simba na kuhudhuria Press Conference ya Yanga na kwa bahati mbaya sana ilikuwa inaongozwa na ADUI namba moja wa Simba " Mropokaji Mkurupukaji " wa Yanga.

Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama Mwanachama wa Simba kwenda kukaa Klabuni kwa Yanga tena na Jezi ya timu huku akiisifu Yanga na kuwasifia Wachezaji wa Yanga.

Enyi Viongozi wa Simba fukuza upesi na haraka sana hawa Wanachama na hasa hasa huyu Mzee Risasi Mwaulanga na mkitaka kuwajua ni rahisi sana kwani wameonekana katika tv zote na picha zao zikienea mitandaoni.

Na kwa taarifa za chini chini zinasema kwamba huyu Mzee na hao Mashabiki wa Simba alioongozana nao leo asubuhi walienda kwa " Gabachori " la Yanga barabara iendayo kupanda " mbung'o " JNIA na kila mmoja kupewa kiasi cha Shilingi laki moja moja ili tu waende Klabuni kwa Yanga na kuyasema hayo waliyoyasema huku Mzee Mwaulanga akipewa Shilingi laki tano taslimu.

Nitoe tu wito na angalizo KALI kuwa kama kweli Wewe ni Mwana Simba tena " lia lia " Kesho ni mwiko na hakuna kuishangilia Yanga hata iweje na kuna kamera maalum Wana Simba tutazifunga pale Taifa ili kuwamulika wale wote watakaoshangilia Yanga au kuvaa mijezi ya Yanga na ukionekana tu Kesho kutwa tunaitisha Mkutano wa dharura na tunawafukuzeni uanachama wote na hata ukijifanya kuuchuna usoni na kushangilia " kimoyo moyo " bado hizi Kamera zetu maalum zinauwezo wa kuusoma moyo na hisia za Mtu hivyo zitakurekodi tu utaicha Kadi ya uanachama wa Simba pale pale Taifa mpira ukimalizika.

Vaani nguo za TP Mazembe na kama huna Jezi yao basi " tinga " tu Jezi ya " mnyama mnyamani " Simba Sports Club na uingie nayo kwani kuishangilia Yanga au kuipenda Yanga ni sawa sawa na kumpenda Shetani au kukumbatia bomu la kujitoa muhanga la ISIS au Boko Haram.

bado muro ataendelea kukutesa mkuu,kesho mazembe anakufa na hutaamini ,mikia losers
 
simba wote tunaenda shangilia yanga kesho we endelea na upuuzi wako
 
Hata hivyo kama tujuavyo kuna Simba MADUME na Simba MAJIKE hivyo basi Simba DUME wote Kesho watafuata haya niliyoyasema na Simba JIKE mliobaki mtawasaidia Yanga.
 
Yan muro kututukana kote bado tukashangalie simba, akishinda aongeze matusi. Hatuwez kuwashabikia ndala hata wao hawajawahi kutushabikia wala kututakia mema

Safi sana Mkuu na Wewe ndiyo Simba wa kweli siyo hao " wanafiki " hapo juu ambao hawajui miiko na imani ya hivi Vilabu viwili Vikongwe hapa nchini Tanzania.
 
hapo umethibitisha upunguani Wako matusi ya wazazi ya nn?tcra siku his wamelala sana

Tumetofautiana sana katika kuelewa jambo na kulitafsiri hasa katika kulileta katika maana au dhania halisi na hili pia linatokana na malezi ya kiakili aliyokuzwa nayo mlengwa. Utafute wimbo mpya wa Wagosi wa Kaya uitwao " BAO " ambao Watu wengi wenye uelewa wa aina yako ulipoanza tu kupigwa redioni walikurupuka na kusema kuwa akina Dokta John na Mkoloni waliimba " matusi " ila kwa mwenye AKILI timamu akiusikia ule wimbo kwa umakini kabisa na kujenga maana utajua kuwa Wagosi wa Kaya hawakutukana. Bahati nzuri sana SIFA yangu kubwa ni KUJIAMINI huku nikijua kuwa naelewa ninachokifanya. Lakini kama haitoshi katika Somo zima la uandishi kuna kitu kiitwacho IMPLYING ambacho hutumiwa sana na Waandishi wa Critical and very sensitive issues na Cartoonist wote huitumia mno hii mbinu hasa hasa GADO wa Gazeti la The East African ambayo hata KISHERIA haimfungi aliyeandika au kuchora kwani anakuwa hatumii direct words au meaning na ukiona unaumia na IMPLYING iliyotumika basi jua umejishtukia au dongo limekuingia. Huwa napenda sana kutoa lecture kwa " slow learners " wa aina yako na ni imani yangu leo umejifunza kitu / jambo ili siku nyingine usidharaulike mbele ya " majiniasi " humu.
 
Sio kweli, nawewe sio simba coz shabiki wa ukweli wa simba hawezi shangilia yanga hata siku moja, yanga hawajawahi kutushangilia ata siku moja, so why leo tujpendekeze kwao?
 
Me simba dume, hakuna kushangilia yanga

Safi sana Simba DUME mwenzangu / mwenzetu na tuwaache hao Simba JIKE wawashangilie Yanga kesho. Nimefurahi kuona msimamo wako na kukubalina na nilichokisema. Kama upo karibu na Redio yako sasa hivi tafadhali fungulia Magic fm Kipindi cha Michezo kinachoendelea kwani sasa hivi Msemaji wa Simba Sports Club " fundi " Haji Manara atazungumza " live " ndani ya dakika 3 au 5 au 8 zijazo ataunguruma. Msikilize!
 
Back
Top Bottom