Wazee wa Kimila wa Kabila la Waikizu katika Kijiji cha Kumgongo Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamewakabidhi fimbo za kimila, Viongozi na Wagombea wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), ikiwa ni ishara ya kuwapatia baraka na kuwasimika kushika dola katika nafasi wanazogombea