Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
"Hao mnaowasifu wawekezaji WANATULIPA 10,000/= per day" ...Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
10,000 - 7500 = 2500
Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
Bado viungo?
Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.
Mkuu, wanakulipa wewe na nani?
Mbona unatusemea na sisi?
10,000 - 7500 = 2500 