Viongozi dhaifu

Viongozi dhaifu

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
49
Reaction score
96
Viongozi dhaifu ni wale wanaopenda kusikia kile wanapenda kusikia, wagumu kusikia ama kupokea mawazo mbadala yanyokinzana na mawazo Yao. Hukimbilia kushughulikia watu (attack personality) na si kushughulika na hoja (do not deal with issues).

Kuna haja ya kufundisha (wanasiasa, wakuu wa taasisi za dini n.k) Uongozi.

Ukichaguliwa kuwa haikufanyi kuwa kiongozi, uchaguzi unampa mtu madaraka na fursa ya kuwa kiongozi, kamwe uchaguzi haumpi mtu “Uongozi” Bali “madaraka”.

Tuandae viongozi.
 
umenena vyema
 
Kama mtu hatambui kuwa SIASA ilianzia kwenye DINI unafikiri huyo mtu anafaa kuwa kiongozi kweli?
 
Back
Top Bottom