mbona sasa hawaoneshi nia ya kushika dola? Kumbuka cdm haina dola, kauli hizo zingetoka ccm kuelekea upinzani sitashangaa lakini zikitoka upinzani kwenda upinzani zinaacha viulizo vingi sana!NAMPONGEZA maalim seif kwa kuacha ubaguzi na kufanya siasa bara. sasa ni zamu ya dk.slaa na mbowe kuacha ubaguzi na kuenda kufanya siasa pemba.
kwa iyo Chadema wakipanda majukwaani wakiwaita Cuf Ccm B ni halali lkn Cuf wakitumia jukwaa ilo ilo la siasa wakiishambulia Chadema ni haram!!?mbona sasa hawaoneshi nia ya kushika dola? Kumbuka cdm haina dola, kauli hizo zingetoka ccm kuelekea upinzani sitashangaa lakini zikitoka upinzani kwenda upinzani zinaacha viulizo vingi sana!
ss si uwashauri viongozi wako wa Tanganyika wavunje Muungano?ss tushasema siku nyingi hatutaki Muungano!
unakumbuka siku iliyozama meli znz si bongo mliendelea miss Tanzania!!?au imesahau!!??
Miss Tanzania ???
ss si uwashauri viongozi wako wa Tanganyika wavunje Muungano?ss tushasema siku nyingi hatutaki Muungano!
unakumbuka siku iliyozama meli znz si bongo mliendelea miss Tanzania!!?au imesahau!!??
ss waarabu wameingia vp hapo!!!?
Na Hauwezi kujua FAIDA gani ZNZ inapata toka kwa TANGANYIKA; lakini Mmejengwa na CHUKI... Sasa hivi Mnaona ni BORA kuwa na WAARABU Mnabadilisha Historia kuwa kulikuwa hakuna BIASHARA ya UTUMWA... Unafiki Unadhani PIA waarabu watapenda RANGI yenu?
Ni kwasababu tu Mwapenda kuishi kwa Msuguano; Muungano usipokuwepo Mtatafuta chochote ambacho hamkipendi kati yenu nyinyi wenyewe na kukifanya ndio kibaya...
VERY WRONG MENTALITY... HATE HATE HATE !!!!
vyovyote itakavyokuwa lkn ktk tv kulikuwa na live programe kuhusu miss (yaani waenda uchi)
ss waarabu wameingia vp hapo!!!?
lkn mbona Waarabu hao hao wamejaa Tanganyika na mmewauziamaelfu ya Ekari?(Loliondo)au huna khabari ww?
Hivi biashara ya Utumwa hawakufanya Wazungu mbona huwataji!!?
ss waarabu wameingia vp hapo!!!?
lkn mbona Waarabu hao hao wamejaa Tanganyika na mmewauziamaelfu ya Ekari?(Loliondo)au huna khabari ww?
Hivi biashara ya Utumwa hawakufanya Wazungu mbona huwataji!!?
mwangalie huyu watu wanaisabu nazi ww unaisabu makumbi!!Hii hapa PICHA ya MISS Zanzibar... Kabla ya NYERERE hajapiga Marufuku kwa Bara na Visiwani
tangu CUF iolewe na CCM imekuwa mama wa nyumbani ndiyo maana haisikiki.Hivi CUF bado kipo? Mtaani kwetu ukizungumzia CUF ni kama simulizi ya zamani, ambayo wahusika wamepotea njia na hawajui watapumzika wapi.
Cuf ina watoto Wa mjini twende wapi nyie wachaga na Cdm yenu nendeni kilimanjaro cuf haiwezi cuf imeshikwa na watoto Wa mjini Ndio mana kila misukosuko ikipata chama kipo vilevile nyie Zito anawagalagaza mfukuzeni muone vipande
Maalimu aache ubaguzi? Acha hizo, mbaguzi huyo. Anazuga tu, kwa kuwa yuko kwenye serikali ya umoja. Akiwa mtawala Zenji. Kila kitu kitakuwa ni wapemba tu. UAMSHO HUYOOOO
Cuf ni wajinga, adui yetu mkubwa ni ccm.sasa hii inadhihirisha kuwa cuf na ccm lao moja.wala asituumize kichwa maana cuf ni ccm B so chadema mwendo mdundo...