Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 951
- 865
wasaliti hao....wahuni hao......wanatumika.....wametumwa na ccm.......maagizo kutoka juu......vijana wa mutungi......watakuja wenyewe sasa hivi na option hizo hapo juu.
Vipi, michango ya ujenzi wa ofisi inapokelewaga na nani?Wanawakumbusha viongozi wetu sio kitu kibaya kukumbushana, ingekuwa uvccm hapo lazima mngetoana ngeu
Sasa kaka hapo patakufa mtu! R.I.P Chacha Wangwe.Nawapongeza ila wasiishie Karatu...waje hapa ufipa kudhibiti mchwa waliotafuna milioni 100 za sabodo badala ya kujenga ofisi.
Wenyewe wanapita bila komenti huku wakifumba macho.mwe mwe mweeee (Kwa sauti ya Senga)
Mwenyekiti CCM JF