Brother Kaka
Member
- Jun 11, 2013
- 90
- 55
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?
1.Mwigulu alikuwa BoT kabla ya ubunge na ilisemekana EPA ina vidole vyake pia na sasa yupo yupo hazina ya Taifa kama Waziri!!
2. Vick Kamata aliekuwa mwanamziki wa singali moja maarufu aliajiriwa BoT na amepewa nyumba ya BoT pale Sinza kwenye magorofa yao!!!
Mleta mada hembu tuelezee na hapo kuna nini??!!
Kuhusu Mtei na Makani(r.I.p) inajulikana kuwa urafiki wao ulishabiri wakati wamekutana wanafanya kazi na BoT na walifanya uamuzi wa kuunda CHADEMA kwa history ambayo inajulikana!
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?
Mzee Mtei ndio amewaunganisha hao wote BOT.
Hivi Mbowe alipataje kazi BOT na sifa hana?
Form six alipata zero.
Mkwe wake mzee Mtei alimpigia mchongo
Umepatia hapo kwenye nyekundu. Jamaa alikuja kanda ya Ziwa akatupa ndoano akamneemesha na sasa amemharibia maisha ya ndoa!! CCM Chama cha vicheche!!Hivi huyo vick kamata anatumia nyumba ya bot kama nani wakati yeye mbunge? Je,ni halali kuitumia au anaitumia kwa vile yeye na second lady?
Hapa mimi, ni CHADEMA, Afu nina miezi mi4 nipo B. o .T.Mtoa mada njoo na ww B. o .T.
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?
Mchaga yake ni pesa na sio siasa.
Hilo liko wazi.