Viongozi CHADEMA na uhusiano wa BOT

Viongozi CHADEMA na uhusiano wa BOT

Brother Kaka

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
90
Reaction score
54
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?
 
Kwani si kazi kama kazi zingine na wakajitambua wakavua Magamba au ulitaka wabaki namagamba
 
Mkono alikua BOT-yuko CCM
Mwigulu alikuwa CCm sasa CCM
Idrisa rashid alikuwa BOT sasa CCM
Kuna achilia mbali watoto wa Viongozi waandamizi wako BOT na ni wanaCCM
Kuna nini BOT na CCM?
 
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?

Ulifikiria unachotaka kupost kweli
 
Nafikiri ajatumia akili kufikiria kabla ya post ametumia hicho anacho kalia
 
1.Mwigulu alikuwa BoT kabla ya ubunge na ilisemekana EPA ina vidole vyake pia na sasa yupo yupo hazina ya Taifa kama Waziri!!

2. Vick Kamata aliekuwa mwanamziki wa singali moja maarufu aliajiriwa BoT na amepewa nyumba ya BoT pale Sinza kwenye magorofa yao!!!

Mleta mada hembu tuelezee na hapo kuna nini??!!

Kuhusu Mtei na Makani(r.I.p) inajulikana kuwa urafiki wao ulishabiri wakati wamekutana wanafanya kazi na BoT na walifanya uamuzi wa kuunda CHADEMA kwa history ambayo inajulikana!
 
Hivi huyo vick kamata anatumia nyumba ya bot kama nani wakati yeye mbunge? Je,ni halali kuitumia au anaitumia kwa vile yeye na second lady?
 
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?

Mchaga yake ni pesa na sio siasa.

Hilo liko wazi.
 
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?

Mzee Mtei ndio amewaunganisha hao wote BOT.
 
Hivi Mbowe alipataje kazi BOT na sifa hana?

Form six alipata zero.
 
Hawa jamaa wana historia ndefu sana
Bob Makani alikuwa amemuoa dada yake na mzee Mtei
Mbowe Kamuoa mtoto wa mzee Mtei
 
Hivi huyo vick kamata anatumia nyumba ya bot kama nani wakati yeye mbunge? Je,ni halali kuitumia au anaitumia kwa vile yeye na second lady?
Umepatia hapo kwenye nyekundu. Jamaa alikuja kanda ya Ziwa akatupa ndoano akamneemesha na sasa amemharibia maisha ya ndoa!! CCM Chama cha vicheche!!
 
Hapa mimi, ni CHADEMA, Afu nina miezi mi4 nipo B. o .T.Mtoa mada njoo na ww B. o .T.
 
Pamoja na yote ila hii list ya staff wenzetu hapa Central Bank naona majina mengi sio mageni ktk historia ya injii (nchi) hii. Naona ndio maana undugulization upo ktk chama na serikali
 
Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT?
1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT
2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT
3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT
NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?

Kama Mbowe si kichwa mbona leo umempa uafisa BOT.

MBONA WALIPOMALIZA UTUMISHI WAO LEO UCHUMI UMEYUMBA?

HAWA WALIKUWA MUHIMU SANA BOT.
 
Back
Top Bottom