Hasa mwenyekiti ni janga kwa chama hiki, hakukuwa na sababu kushiriki uchaguzi. Chadema wanapolalamika leo wananikera sanaPamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?
Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.
Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.
Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?
Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Usilazimishe kutoa ushauri kama haujaombwa.Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa unategemea Nini?
Ila Viongozi wa CHADEMA wanajua na msimamo wa kushiriki uchaguzi huo. Nikawa najiuliza je Viongozi wanamkakati wa kuzuia hujuma za CCM? Wagombea wakaenguliwa na vituko vingi kufanya, lakini bado Viongozi wakaendelea kushiriki huo uchaguzi. Najiuliza kwa Yale yaliyotokea kulikuwa hakuna haja ya kuendelea na huo uchaguzi, ilibidi chama kijitie kuonesha protest ya udhalimu uliofanyika.
Mwisho wa siku Viongozi wamelazimisha kushiriki uchaguzi na wakaingia kwenye mtego wa CCM. Maana hata wakiiba utafanya Nini wakati polisi wapo upande wao? CCM wamefanya Hila nyingi kwenye uchaguzi huu lakini kwao ni kawaida.
Hasa Viongozi wamebakia kulalamika na kulaumu. Kwani mlitegemea uchaguzi unasimamiwa na kada wa CCM na Tena mkwe wa Rais awatendee haki. Nilishangaa Sana Lema aliposusia uchaguzi siku ya kupiga kura, nikajiuliza unasusia uchaguzi mwishoni kwanini? Akazira hata kufuatilia matokeo. Nikashangaa Wenje anashadadia CHADEMA ishiriki, nikashangaa Kuna jipya lipi ambalo lipo Kwa CCM linalowafanya Viongozi washiriki uchaguzi huu?
Kwa kweli kiburi Cha Viongozi wa CHADEMA kitaua chama hiki Cha CHADEMA na kitakosa watu wa kujiamini.
Viongozi wa chadema utawaonea tu maana hata wasingeshiriki tlp, udp na vyama vingine rafiki wangeshiriki na lawama zingekua kwa staili tofauyi tu kwamba hamjashiriki mmewapa fursa.
Mtu pekee wa kupewa lawama ni mwananchi wa tanzania
CHADEMA wasingeshiriki lawama zingekuwa kubwa sana,hata CCM wenyewe wangejivika utakatifu wasiokuwa nao kwa kuwatupia CHADEMA vijembe,kushiriki kwao kunazidi kuthibitisha kuwa maridhiano ya CCM na vyama vya upinzani ni kiini macho,na ukija upande wa CCM wao wanazidi kuthibitisha kuwa ni chama ambacho hakiko tayari kutenda haki na hakikubaliani na demokrasia.
Hilo tatizo ni la kimuundo, dawa yake ni katiba unless then hiyo loophole ya kutumika itaendelea kuwepoLawama pia ziende kwa Maaskari. Wanatumika kuharibu uchaguzi na kuwabeba CCM kuiba kura.
Ila malipo ni hapa hapa duniani. CCM wanakulaga pensheni za maaskari mpaka salio ni 0 🤣
Hasa mwenyekiti ni janga kwa chama hiki, hakukuwa na sababu kushiriki uchaguzi. Chadema wanapolalamika leo wananikera sana
Nimeshatoa nyuzi nyingi sana kuhusu mbowe ila wewe ulikua unamtetea sana Sasa nashangaa unalalamika nini hapa naona unaaza kukubali kwamba huyo jamaa sio chadema ni chawa wa serikali endelea kumtetea maana si mnaona Kila anaeenda against chadema ni ccm okay vizuri endelea kumtetea mbowe
Sio kama huyo anatumika nilishatoa nyuzi nyingi ila wanachadema mtu akipinga kitu mnamuona kama CCM mbowe ni nyoka chadema na serikali ya ccm inafurahia uwepo wake chademaMkuu Mimi Mbowe kwa Sasa simkubali kabisa ni kama anatumika Sana. Ingawa nimechelewa kulijua Hilo.
Usilazimishe kutoa ushauri kama haujaombwa.
Aliyekuambia CHADEMA wanahitaji ushauri wako ni nani?