Viongozi CHADEMA Ikungi, Kwimba wajiuzilu kwa udikteta wa Lissu na ukosefu demokrasia

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Habari za uhakika ni Kuwa viongozi CHADEMA Ikungi wamejiuzulu kwa udikteta wa Tundu, wakati huo huo mwenyekiti wa CHADEMA Kwimba na aliyekuwa mgombea ubunge kabwaga manyanga sababu ya ukosefu wa demokrasia uchaguzi kanda ya ziwa.

Hali ni Mbaya.

fb_img_1485013326961.jpg
 
Njaa mbaya, ukata umepiga hadi kwenye siasa. Hapa ndipo tutajua wapinzani na wapinzani maslai. Sisi tuliona mbali tuliiona hali hii na kuipinga
 
Umetoka pale kwenye Buguruni kwenye danguro la madada poa (wauza miili) ukakimbilia JF kuleta habari isiyo na kichwa wala miguu. Kwanini hujawataja hao viongozi kwa majina? Chanzo cha habari yako ni kipi? Tahadhari: Mnapotoka kwenye madanguro ni vema mkasubiri hang over iishe ndipo mje hapa JF.
 
Ewe msukule soma vema
 
Labd leo wapo mp mkuu
 
Habari za uhakika ni Kuwa viongozi CHADEMA Ikungi wamejiuzulu kwa udikteta wa Tundu, wakati huo huo mwenyekiti wa CHADEMA Kwimba na aliyekuwa mgombea ubunge kabwaga manyanga sababu ya ukosefu wa demokrasia uchaguzi kanda ya ziwa.

Hali ni Mbaya.

View attachment 462312
Barua yenyewe haina tarehe. Huyo alishaoondoka chadema tangu mwaka jana, wewe unaileta kama Habari mpya hapa

Kweli rambi rambi zinawatesa
 
Back
Top Bottom