Haya mambo haya, Mmoja aliweka misingi kwamba akitoka madarakani apewe jumba la kifahari na mshahara na marupurupu ya Rais aliyepo madarakani ili aachie ngazi, Bahati mbaya hakufanikiwa na kuaga dunia, Binadamu tunapanga lakini Mwenyezi Mungu ndiye muamuzi wa mwisho